barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,803
Kwa hyo unataka kutuaminisha hao walio ongea hayo maneno wanajua kuliko kocha wako guropu? Yako acha kutafuta mchawi umefuria ukaniona bora kumtona MINOMINONimeangalia ratings za Liverpool Echo wamemrate Jones 8/10 na kuandika comment hii
Curtis Jones 8
Brilliant tracking back denied Foden first half and always looked to get Liverpool moving forward. Very harsh to be subbed
Wamemalizia na neno 'Very Harsh To Be Subbed'.
Unajifariji na wahuni hao wapiga dili ngoja ukione cha motoThank You Roy Kean kwa kumwambia Ukweli Klopp
We jamaaa acha kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Wamefungwa wamefungwa fulstop.Vipi mkuu hamkupata penat leo? Naona hamjapiga mligomea salah ameikataa kabisa anataka goli la assist
Lakin matokeo yanasoma 4-1 sasa hilo moja limetokana na nini?
Yote kwa yote poleni sana mlikuwa na injury halafu mmeenda kukutana na timu iliyokuwa bora

thithi hatujafungwa anfield toka 2017....Hii kauli imeisha sku izi

sasa ivi wanasema tangu 1963

KLOPP + MILNER. + HENDERSON Hawa jamaa hawa kuna mchezo mchafu wanaufanya nje ya mpira ambao sisi hatuufahamu kuna kaharufu ka MAPENZI YA JINSIA MOJA hapa.
, mkuu yashafika huko?YawezekanaTatizo Klopp aliwaaminisha wenye timu yeye ni miracle worker na kikosi anachopewa yupo tayari kukomaa nacho mpaka mwisho matokeo yake hana like for like sub kwneye maeneo muhimu kipindi kama hiki tuna majeruhi...
Unajua wakati mwingine usisubiri yakukute ndio ujipange.. Tazama kilichomkuta Manchester City na kukosa ubingwa wa 2019-2020 ilikua hivi kumuachilia Kompany bila kusajili mbadala wake matokeo yake akaja umia Laporte na Pep akajaribu kukomaa na Fernandiho kutoka DM na kumrudisha CB ambapo alichemka vimbaya mno na mwishowe tukachukua ubingwa.. Hili ilitakiwa iwe somo kwa Klopp wakati wanamwachia Lovren endapo wangesajili upya CBL immediately.. Sasa tunakuja kupata majeruhi Matip, Gomez na VVD imagine wewe ndio kocha huna plan B ya hap wachezaji zaidi ya kuchukua mchezaji wako bora pale Kati Fabinho kumrudisha CB sasa pengo la Fabinho nani wa kulizimba hayupo ndani ya Anfield..
Tukafika January 2021 badala wenye timu yao waingie sokoni chap na kumsapoti kocha walisubiri mpaka Klopp awatupie dongo ndio waka react na huku wameleta ma amateur playere sio proven na mpaka mida hii Klopp hajashawishika nao kuanza hata gemu moja..
Ki ukweli Klopp alivyowachana hawa wamiliki nilimwelewa yaani unaweza kuta pale chaguo lake ni Allison na VVD mbali wengine ni chaguo la wenye klabu yaaani kuna vimaneno fulani alisema nikabakie kutoa macho..
Kwa hio hayo ya kumsaidia kujenga kikosi sijui yataanza lini kwa hawa FSG kwani jamaa wanategemea maajabu ya Edwards na Klopp kuwavusha salama..
Everything has a beginning and an end and many of this current players have reached thier end we need new hungry blood...
YNWA
Tatizo Klopp aliwaaminisha wenye timu yeye ni miracle worker na kikosi anachopewa yupo tayari kukomaa nacho mpaka mwisho matokeo yake hana like for like sub kwneye maeneo muhimu kipindi kama hiki tuna majeruhi...
Unajua wakati mwingine usisubiri yakukute ndio ujipange.. Tazama kilichomkuta Manchester City na kukosa ubingwa wa 2019-2020 ilikua hivi kumuachilia Kompany bila kusajili mbadala wake matokeo yake akaja umia Laporte na Pep akajaribu kukomaa na Fernandiho kutoka DM na kumrudisha CB ambapo alichemka vimbaya mno na mwishowe tukachukua ubingwa.. Hili ilitakiwa iwe somo kwa Klopp wakati wanamwachia Lovren endapo wangesajili upya CBL immediately.. Sasa tunakuja kupata majeruhi Matip, Gomez na VVD imagine wewe ndio kocha huna plan B ya hap wachezaji zaidi ya kuchukua mchezaji wako bora pale Kati Fabinho kumrudisha CB sasa pengo la Fabinho nani wa kulizimba hayupo ndani ya Anfield..
Tukafika January 2021 badala wenye timu yao waingie sokoni chap na kumsapoti kocha walisubiri mpaka Klopp awatupie dongo ndio waka react na huku wameleta ma amateur playere sio proven na mpaka mida hii Klopp hajashawishika nao kuanza hata gemu moja..
Ki ukweli Klopp alivyowachana hawa wamiliki nilimwelewa yaani unaweza kuta pale chaguo lake ni Allison na VVD mbali wengine ni chaguo la wenye klabu yaaani kuna vimaneno fulani alisema nikabakie kutoa macho..
Kwa hio hayo ya kumsaidia kujenga kikosi sijui yataanza lini kwa hawa FSG kwani jamaa wanategemea maajabu ya Edwards na Klopp kuwavusha salama..
Everything has a beginning and an end and many of this current players have reached thier end we need new hungry blood...
YNWA
Chelsea hatunaga midomo mirefuKweli Mkuu, iliyobaki sasa hivi ni thithi Chelsea tunachukua ubingwa!
UEFA tunamtaka Bayern
Tuwakomoe kwa points tano mlizotuzidi?kuwa na adabu...kwahiyo unajiamin kabisa utamaliza juu yngu?
Nilitegemea hivyo pia...amuanzishe kabak na fabinho then hendo arudi kiungo chake..lakin ndio hivyo kocha ndio mwenye maamuzi..Mkuu pale nyuma bila VVD na Gomez tunaishi kwa nguvu za Mola hawa wengine tunabahatisha..
Hiii gemu ilikua Klopp awaanzishe Kabak ama Davies na si vingine..
Honestly am at peace sikutegemea zaidi ya haya ya leo na nilovyomuona tena Milner nikasema kweli we are doomed.
YNWA
Jana tulihitaji pointi tatu zaidi kuliko Manchester City lakini hatukuonyesha nia wala njaa...Nilitegemea hivyo pia...amuanzishe kabak na fabinho then hendo arudi kiungo chake..lakin ndio hivyo kocha ndio mwenye maamuzi..
Mkuu hivi unajua ki stat Gomez yupo powa zaidi ya Matip..Matip was the one , Yes at our Club Matip is second only to VVD
Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
Hawa hata kwa DullyJr hawapati namba lol...Ladies and gentlemen! Our back-up players kwa Timu yetu inayotetea Ubingwa ni Origi na Milner