Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hawa watoto wa klopp washamba kweli,wameshindwa kuwa-keep quite kina Foden,Gundogan na Sterling..

Wakadake au?
Hizi bao zote siku Alisson katika ubora wake ana okoa!
Vijana wamecheza vizuri sana,tatizo kipa leo alikuwa ktk worst day ever
Lkn tunajipanga kwa mechi ijayo
 
Leo nimeamini kumzamini Livakuku ni sawa na kumuwekea dhamana mwenda wa zimu.

Siku ya hukumu wewe unaenda gerezani wakati mwenzako yuko jalalani anaokota makopo.
 
Anahitajika ndugu maana tunakosa mchezaji mwenye udhubutu wa kufungua hizi defensi pale TAA na Robbo wanachemka kama leo...

Kuna dogo yupo pale Newcastle Maxmiliman namba 10 huyu bhana angetufaa

YNWA

Mkuu kwa mimi nilichokiona leo ni kwamba hatuwezi kufunga mipira ya kona ,mipira yote ameruka stone,hapo angekuwa vvd yangekuwa magoli hayo.

Hakuna mruka vichwa kama ndio hivyo unakuwa unategemea magoli ya aina moja tu,ambayo sio magoli ya kona .
 
KLOPP + MILNER. + HENDERSON Hawa jamaa hawa kuna mchezo mchafu wanaufanya nje ya mpira ambao sisi hatuufahamu kuna kaharufu ka MAPENZI YA NJISIA MOJA hapa.

Vipi mkuu hamkupata penat leo? Naona hamjapiga mligomea salah ameikataa kabisa anataka goli la assist

Lakin matokeo yanasoma 4-1 sasa hilo moja limetokana na nini?

Yote kwa yote poleni sana mlikuwa na injury halafu mmeenda kukutana na timu iliyokuwa bora
 
Klopp is damn to loyal kwa hawa wachezaji aisee..

Hayo mambo anayaweza Pep..

Yaani Pep ni full rotation umeona leo namba 9 wake kaanzia benchi...

Klopp anatatizo na upangaji wa kikosi sio bure..

YNWA

Sio upangaji tu mkuu hata uwekezaji ni muhimu liverpool walikuwa bora sana baada ya kuwekeza klopp akasinzia alisahau kama aliwekeza kufikia mafanikio aliyopata msimu uliopita kule kwa pep tumemsahau kabisa laporte wachezaj wake wa gharama na quality.
 
Top 4 mpambane sana, hata Aston Villa wanapambania hiyo nafasi. Timu 8 nafasi 3 maana moja tayari ni ya Man City
  1. Man United
  2. Leicester City FC
  3. Liverpool
  4. Westham
  5. Everton
  6. Tottenham Hot Spurs
  7. Chelsea
  8. Aston Villa
Na wote hao wanamaanisha

Vipi arsenal unatusahau mkuu
 
Mkuu hayo mapumziko ya siku 8 unataka kusema hayo mapumziko city hayakuwapa faida yoyote walikaa tu kiasara? Mbona Baada hizo siku 8 city ndio wamebadilika mpaka leo?

Game na man city leo sina wasiwasi kabisa utaratibu wakugawa dozi ni uleule wa 3-1.

Mkuu sijapenda kusema jamaa anaongea pumba,me naimani tunarudi kwenye title contender Baada ya mechi ya leo.man United raundi ya 2 inamshinda tayari dalili tumeziona sio tena wakumuofia.

Kelele za man United zisitufanye tuone hatujui,na wakati sasa hivi tumerekebisha hapo nyuma kidogo naona sasa tutaanza kupata tulichokuwa tunataka na sasa hivi jota Baada ya wiki hivi anaweza kurejea hiyo front 3 itachangamka.

mweeeee
 
Kusema ukweli siamini kama Alson alikuwa golini leo!
Kawapa bao zote 4 Man City,bao zote nne.
Bao la kwanza ndiyo limeniuma zaidi,mpira ule ulikuwa hauna hata nguvu,alikuwa analala anainuka nao!
Hata ukiona reply TAA na Robbo waliisha fungua na Fabihno aka relax maana walikua kipa anauokota tu

Bao la 2 na 3 ni aibu sana aisee
La 4 kakwepa mpira

Lkn tumefungwa WOTE,tunajipanga
Mkuu leo naona umeongea kiuchambuzi zaidi hivyo ndo inatakiwa. Leo kipa katuchoma na lazima ajifunze maana hii sio mara ya kwanza, Hata kipindi kile cha mwanzoni tulipo msajili alishawahi kutuchoma kama hivi
 
Vipi arsenal unatusahau mkuu
Wewe sio Arsenal unawasanifu jamaa, sasa wewe unadhani makapi ya Chelsea ya akina Luiz na Willian ndio waipeleke Arsenal top 4? Auba kaflop, Pepe kipepe tu, Xhaka mashaka tupu. Sioni timu ya kushika hata namba 7 pale sembuse nafasi ya 4. Mchezaji wao mzuri ni Bukayo Saka tu, wenngine wameflop
 
thithi hatujafungwa anfield toka 2017....Hii kauli imeisha sku izi
 
LIVERPOOL player rating vs Mancity

Alisson - 2 😒😒😒😒
What happened? A couple of minutes, a couple of goals conceded, a couple of absolute howlers. The Liverpool goalkeeper may be one of the best in the world but his mistakes for City's match-winning double would be considered inexplicable at any level. To make one is perhaps understandable, but two? A shocker by any count.

Trent Alexander-Arnold - 5
Did well before the break, especially when going forward, but defensive frailties were exposed in the second half, most notably for City's opener when Sterling waltzed around him. Liverpool's brightest attacking spark, but his performance won't be remembered for that.

Fabinho - 5
Was this the afternoon when Liverpool's bad luck with defensive injuries finally caught up with them? The Brazil international looked increasingly ill at ease as the game progressed. Fortunate to escape full punishment for his penalty-conceding foul, a lazy trailing leg which in the era of VAR was never going to pass undetected even if referee Michael Oliver had missed it, and statuesque when covering for Alexander-Arnold on City's opener.

Jordan Henderson - 7
There is an idea that Fabinho's future may already be at centre-half. There is also a passing thought that so might Henderson's. Not merely because he has been so very accomplished in his new role but because there's no obvious reason to think that he will not go on prospering in the role. The Premier League does not do brickhouse centre-forwards any more. And it certainly does a lot of possession. So could Henderson be a trailblazer for more central midfielders dropping back into defence? Perhaps. In the immediate term, the only vexing issue for Henderson is whether Liverpool are missing his intensity in midfield.

Andy Robertson - 6
Beaten by Foden for City's fourth, although whereas Fabinho and Alexander-Arnold struggled to repel Sterling, Mahrez barely featured down Liverpool's left. Had some half-openings to create in the first half but could not find a killer cross.


Thiago - 5
An uncomfortable display will surely be followed by uncomfortable focus on whether his style of play is suiting Liverpool or perhaps even hampering it. Booked for an all-too-familiar foul in the opening minutes, Thiago then drifted into anonymity before being replaced on 67 minutes.

Georginio Wijnaldum - 6
On the fringes. Although Liverpool's midfield was not the weak link of their display, neither did their midfield three ever wrestle control.

Curtis Jones - 7
One of the few Liverpool players to impress. The youngster has not won over all Liverpool supporters but made an excellent covering tackle to deny Sterling a clean run through on goal early on and generally stood up well on the most elevated of stages. It was somewhat of a surprise to see him subbed at the same time as the disappointing Thiago.

Mohamed Salah - 6
So quiet prior to winning Liverpool's penalty that he may have hit the mute button. Converted the spot-kick with aplomb, but barely featured otherwise.

Roberto Firmino - 5
Did not appear to possess his usual levels of energy and only once - with a snap shot after 30 minutes that Ederson tipped - did he offer a direct threat of his own. Questions are bound to reappear about his contribution to the side when the front press is not a factor.

Sadio Mane - 6
Liverpool's best attacker, although that is not saying much on an afternoon when the 'fab three' fell flat.

Subs used
Xherdan Shaqiri - 6
James Milner - 6
Kostas Tsimikas - n/a

Source Sky.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom