So kazi yote ya 2018/19 na 2019/20 aliyofanya ni bure, wakati ule alifaa. Alibatizwa majina mengi ya kifahari. Baada ya miaka 30 kawatolea aibu leo mnataka kumfukuza kwa sababu ya mechi tatu zilizosababishwa na timu kuwa na majeruhi ya ya nafasi muhimu kama ya VVD, Liverpool imepwaya kama timu sio makosa ya Kocha. Fabinho, Hendo na Milner kucheza kama CB wapi na wapi. CB wote wanaojulikana wako injury na haijulikani watarudi lini. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni
Ndio hapo ndugu aafu utashangaa wanaanza kumnadi Steve G kama meneja mtarajiwa kisa tu ana msimu mzuri kule Scotland....
Kama the great Pep alimkosa Laporte aka surrender ubingwa kwetu sasa nini ajabu Klopp nae ku surrender kwa wengine na huku ikiwe well documented ni majeruhi defence ambayo ndio nguzo kuu kwetu...
Nitakua wa mwisho kusema Klopp OUT hastahili kwa vile tu tuna msimu mbaya..
Mansour pamoja na Pep kushindwa kupata UCL na EPL msimu uliopit alimpa Pep mkataba mpya maana anajua kilichofanya wakose kufikia malengo yao..
Nina inamani na Klopp apewe sapoti tena na wenye timua yao aanze kusuka kikosi upya na haya yote yatashaulika...
Makocha hawa Pep na Klopp ni top top game changers wakiwa na talent in thier disposal hivyo nina imani next season and i hope mashabiki watakua wamerejea uwanjani upande kipato cha klabu kiongezeke ili kuwapa kifua kuingia sokoni..
Imagine Pep anapewa £200m kusuka upya kikosi haha lol target zake kuu ni Lukaku, Martinez na Traore kwa pale mbele yaani itakua balaa yaani sub itakua unakata mti unapanda mti..
Sitegemei Juni 2021 kwa kweli Ox, Origi, Milner, Shaqir, Keita oh boy,Matip kubaki kikosi hawa ni kuuza kupunguza pay roll na kuleta wengine wapya tunahitaji new dimension ili Rebuilding ya Klopp ilete maana na matokeo...
Dogo VVD nae anahitaji maombi huyu isitokee relapse kwenye rehab yake apone asilimia zote kwa ajili ya msimu ujao..
Natarajia pia msimu ujao kuwe na preseason ya kueleweka kwa ajili ya maandalizi mema ya msimu mpya 2021-2022..
Tuwe na subira ni haya matokeo tutakaa sawa huu msimu wa sasa tukumbali kuna timu bora zaidi yetu na huo ndio ukweli...
YNWA