Ukisikia risasi ndio hiyo. Foden angeua kipa aisee
Mmesahau mlivyokuwa mnatuadhibu nyie hapo nyuma?Why mabeki wanarudisha huku wanaona kipa hayuko vizuri??










Walio ingia hawana shida. Kama kipa anagwa mpira kwa maadui hata ungeweka akina Messi wanne mtafungwa tu.Hivi kazi ya Milner kama leo haswa ni nini jamaa..
Why take young Jones off and bring in muzeee...
Again Klopp getting the system wrong..
YNWA
Kwa lugha gan??MNAWEZA KUNIPA TAFSIRI YA HIKI MNACHO FANYWA????
Nipo serious sana
Kwa leo afadhali ya Karius mkuuHivi kazi ya Milner kama leo haswa ni nini jamaa..
Why take young Jones off and bring in muzeee...
Again Klopp getting the system wrong..
YNWA
Angetoa Gini akaingiza Milner ina'make' sense sababu Gini hajui kukaba ila Milner anajua kukabaHahaha bwana wee Klopp naona kwake sare ni ushindi.. Sasa Milner wa nini..
YNWA
Utasema yoteSasa rasmi 'ANFIELD NI SHAMBA LA BIBI'
Hendo labda FB anaweza ila sio hio CBHahah Henderson the CB lol katoto kadogo Foden kanampita hivi hivi...
YNWA
Hivi kazi ya Milner kama leo haswa ni nini jamaa..
Why take young Jones off and bring in muzeee...
Again Klopp getting the system wrong..
YNWA





Eti wanatukomoa Manchester United kenge hawaWashamba kweli kuku nyie.
Ndio munamkomoa nani?