Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Why mabeki wanarudisha huku wanaona kipa hayuko vizuri??
Mkuu pale nyuma bila VVD na Gomez tunaishi kwa nguvu za Mola hawa wengine tunabahatisha..

Hiii gemu ilikua Klopp awaanzishe Kabak ama Davies na si vingine..

Honestly am at peace sikutegemea zaidi ya haya ya leo na nilovyomuona tena Milner nikasema kweli we are doomed.


YNWA
 
Nachoshukuru katika uhai wangu toka nianze kuishabikia Liverpool mwaka 1998 hadi 2020 nimeshuhudia timu yangu ikichukua ubingwa wa epl mara 1 tu

Simlaumu klopp kwa kwel kaz aliyoifanya n kubwa sana haya n mapito tu

Nikilalamika sana vp kuhusu shabik wa arsenal aliyeanza kuishabikia mwaka 2009 atasemaje na hali ya timu yake ilvyo japo inauma sana naziona tano hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom