Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,851
- 2,771
AiseeeeeSame old same old
YNWA
AiseeeeeSame old same old
YNWA
Taarifa muhimu ni kwamba Manchester United walitoa sare na muda hii gemu ya Leicester imeisha nayo sare ana pointi 43 sasa... Maanake hii tukashida leo tunakwenda nafasi ya 3 kwa tofauti ya magoli tukiwa na pointi 43 pia..Mm leo hata game siangalii kabisa, msisahau kunipa updates hapa
Shinda na pundits walitabiri leo Kabak anaanza pale nyuma na Fabinho haha sasa Klopp ninaemjua mimi hua hapangiwi kamwe haha ina maana madogo wanakula tena benchi...We buy defenders but we wont play them.
Klopp ni ovyo sana.
Its crazy why not take a gamble with Kabak CBR and get Henderson kwenye midfield kama lazima acheze lol...Klopp is very stubborn.

Mkuu hayo mapumziko ya siku 8 unataka kusema hayo mapumziko city hayakuwapa faida yoyote walikaa tu kiasara? Mbona Baada hizo siku 8 city ndio wamebadilika mpaka leo?
Game na man city leo sina wasiwasi kabisa utaratibu wakugawa dozi ni uleule wa 3-1.
Mkuu sijapenda kusema jamaa anaongea pumba,me naimani tunarudi kwenye title contender Baada ya mechi ya leo.man United raundi ya 2 inamshinda tayari dalili tumeziona sio tena wakumuofia.
Kelele za man United zisitufanye tuone hatujui,na wakati sasa hivi tumerekebisha hapo nyuma kidogo naona sasa tutaanza kupata tulichokuwa tunataka na sasa hivi jota Baada ya wiki hivi anaweza kurejea hiyo front 3 itachangamka.
Ila Arnold labda anahtaji mapumziko.Hii tackle aliyocheza Thiago ndiyo Mido anavyotakiwa acheze sio kila siku tuumizwe sisi tu