Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hiki kikosi kinahitaji real shake up..

Yule namba 10 design ya Coutinho kwa kweli ni muda sahihi sasa ma scouts wamlete...

Hatuna wachezaji design ya Foden, Fernando, Silva nk wa kufungua defensi.. Yaani leo tumechanwa laivu lol...

Kutegemea Robbo na TAA hii inapitwa na wakati bila defensi na MF kamili hawawezi kua effective vilivyo...

Klopp go for Maxmilman Pale Newcastle anatufaa sanaaaaaaa...

YNWA
Leo ndo umeliona pengo la Coutinho? Sio nyinyi mliokuwa mnasema kwa kikosi kile hamuwezi kummiss huyo jamaa?
 
Top 4 mpambane sana, hata Aston Villa wanapambania hiyo nafasi. Timu 8 nafasi 3 maana moja tayari ni ya Man City
  1. Man United
  2. Leicester City FC
  3. Liverpool
  4. Westham
  5. Everton
  6. Tottenham Hot Spurs
  7. Chelsea
  8. Aston Villa
Na wote hao wanamaanisha
 
Leo umeliona pengo la Coutinho? Sio nyinyi mliokuwa mnasema kwa kikosi kile hamuwezi kummiss huyo jamaa?
Anahitajika ndugu maana tunakosa mchezaji mwenye udhubutu wa kufungua hizi defensi pale TAA na Robbo wanachemka kama leo...

Kuna dogo yupo pale Newcastle Maxmiliman namba 10 huyu bhana angetufaa

YNWA
 
Kusema ukweli siamini kama Alson alikuwa golini leo!
Kawapa bao zote 4 Man City,bao zote nne.
Bao la kwanza ndiyo limeniuma zaidi,mpira ule ulikuwa hauna hata nguvu,alikuwa analala anainuka nao!
Hata ukiona reply TAA na Robbo waliisha fungua na Fabihno aka relax maana walikua kipa anauokota tu

Bao la 2 na 3 ni aibu sana aisee
La 4 kakwepa mpira

Lkn tumefungwa WOTE,tunajipanga
 
Hawa watoto wa klopp washamba kweli,wameshindwa kuwa-keep quite kina Foden,Gundogan na Sterling..
Woow kwa beki ipi ndugu... Position wise tumechemka kuwabana hawa madogo...

Foden ni balaa huyu dogo namwelewa sana..

Pep alisema ndio mridhi wa David Silva tangu hapo nikasema kuna jambo kwake lipo na kweli hajamwangusha kwani kwa msimu ndio lead scorer wao...

YNWA
 
Mkuu hayo mapumziko ya siku 8 unataka kusema hayo mapumziko city hayakuwapa faida yoyote walikaa tu kiasara? Mbona Baada hizo siku 8 city ndio wamebadilika mpaka leo?

Game na man city leo sina wasiwasi kabisa utaratibu wakugawa dozi ni uleule wa 3-1.

Mkuu sijapenda kusema jamaa anaongea pumba,me naimani tunarudi kwenye title contender Baada ya mechi ya leo.man United raundi ya 2 inamshinda tayari dalili tumeziona sio tena wakumuofia.

Kelele za man United zisitufanye tuone hatujui,na wakati sasa hivi tumerekebisha hapo nyuma kidogo naona sasa tutaanza kupata tulichokuwa tunataka na sasa hivi jota Baada ya wiki hivi anaweza kurejea hiyo front 3 itachangamka.
Kwanini usifute tu hii comment mzee!?
 
Huu upumbavu wa kutosajili beki kwanza nawalaum FSG, na ubahiri wao...

Unaenda kuokota mchezaji huko championship utegemee aje kukaa bench...

Klopp nae kiburi imemjaa ...Salah alikuwa anazurura tu uwanjan badala amtoe akamtoa Thiago...

Hajui maumiv tunayopata sisi mashabiki huku...
 
Huyu Tsimikas gemu ijayo ianze ni muda sasa Robbo aanze bench arecharge kwa ajili ya mechi zijazo..

Mara pap tena Manchester City tunakutana tena UCL lol yajayo yanafurahisha...

Kipindi kile Manchester City walianza msimu kwa vipigo captain wao Fernadinho alifanya kikao na wachezaji wenzie akawachana laivu na kuongea nao kama captain na hakika baada ya pale hawajapoteza tena gemu kwani waliwekana wazi mapungufu yapo wapi na nini kufanyike na akampelekea mrejesho Pep ndio wakaanzia pale kujifua upya na ndio hao gemu ya 14 wanashinda bila kupoteza hata moja..

Leo bila Aguero wala KDB haooo wanasimama imara na kuodoka na ushindi Anfield...

YNWA
 
Wewe Zebra United utafika hiyo 30 kabla yetu
Mnarudi mlipo toka, mtasubiri miaka 30 mingne kuja kuchukua tena EPL, mafanikio yenu yamekua mafupi kama maisha ya mbu,
Kocha wa Barcelona Ronald Koeman anafukuzwa mwisho mwa msimu, Barcelona washafanya mazungumzo na Klopp (behind the scene) wanamchukua July.
RIP Looserfool mtakumbukwa kwa kukamia mechi
 
Daah merudia tena reply
Siamini kama Alisson anaweza fanya haya,jamani oneni bao la kwanza lilivyo rahisi
Anyway tukishinda tumeshinda wote,tukifungwa tumefungwa wote
Viva Liverpool
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom