Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Eti Klopp analalamika kwamba kilichowasaidia City ni mapumziko ya Covid ya siku 8.

Huyu jamaa tukiwa tunafungwa anaongea pumba sana.

Mkuu hayo mapumziko ya siku 8 unataka kusema hayo mapumziko city hayakuwapa faida yoyote walikaa tu kiasara? Mbona Baada hizo siku 8 city ndio wamebadilika mpaka leo?

Game na man city leo sina wasiwasi kabisa utaratibu wakugawa dozi ni uleule wa 3-1.

Mkuu sijapenda kusema jamaa anaongea pumba,me naimani tunarudi kwenye title contender Baada ya mechi ya leo.man United raundi ya 2 inamshinda tayari dalili tumeziona sio tena wakumuofia.

Kelele za man United zisitufanye tuone hatujui,na wakati sasa hivi tumerekebisha hapo nyuma kidogo naona sasa tutaanza kupata tulichokuwa tunataka na sasa hivi jota Baada ya wiki hivi anaweza kurejea hiyo front 3 itachangamka.
 
Aisee sioni sababu ya kutufunga leo

Mambo ya anfield sijui ,tayari ilishapasuliwa na burnely na brghton

Sasa pep aanatakiwa kuchanga karata zake vizur kuchukua point 3 mapema ........
 
Mkuu vip

Spurs

Astonvilla

Hio sio sababu ,klop ajikite kwenye mbinu zake ,mapumziko na match ya everton ni majanga yetu badae
Tunaenda kukutana na fixture ngumu sana

Liverpool
Spurs
Everton (kipolo)
Arsenal
B.m(uefa)
Man united

Hapo ni kila baada ya siku mbili tupo uwanjan ....
 
Aisee sioni sababu ya kutufunga leo

Mambo ya anfield sijui ,tayari ilishapasuliwa na burnely na brghton

Sasa pep aanatakiwa kuchanga karata zake vizur kuchukua point 3 mapema ........

Mkuu hiyo mechi city leo,kushinda hawezi labda sare maana kwa liverpool ni kama imebeba hatima ya ubingwa msimu huu,japo watu hawazungumzi .hiyo ni fainali kwa liverpool ni muhimu sana washinde hiyo mechi.

Liverpool akifungwa hilo gap la point litakuwa kubwa sana na city atakuwa tayari anasubiria kutangazwa tu(kwa tunaojua mpira).
 
Hata mimi najua hii ni kama fainal ,yeyote atakayekuwa na mbinu bora basi anatoka na point tatu

Mimi binafs naamin liverpool bado ni title contenders ,

Linapokuja swala la kuamua match kama hii ,liverpool inakuwaga ngumu sanaaa

Mifano ipo mingi sanaaa
 
Mkuu hayo mapumziko ya siku 8 unataka kusema hayo mapumziko city hayakuwapa faida yoyote walikaa tu kiasara? Mbona Baada hizo siku 8 city ndio wamebadilika mpaka leo?

Game na man city leo sina wasiwasi kabisa utaratibu wakugawa dozi ni uleule wa 3-1.

Mkuu sijapenda kusema jamaa anaongea pumba,me naimani tunarudi kwenye title contender Baada ya mechi ya leo.man United raundi ya 2 inamshinda tayari dalili tumeziona sio tena wakumuofia.

Kelele za man United zisitufanye tuone hatujui,na wakati sasa hivi tumerekebisha hapo nyuma kidogo naona sasa tutaanza kupata tulichokuwa tunataka na sasa hivi jota Baada ya wiki hivi anaweza kurejea hiyo front 3 itachangamka.

Kwa hiyo sisi tunafungwa kwa sababu ya kutopata mapumziko?

Binafsi naonaga anaongea pumba sana tukishakuwa hatuna mwelekeo.
 
Eti Klopp analalamika kwamba kilichowasaidia City ni mapumziko ya Covid ya siku 8.

Huyu jamaa tukiwa tunafungwa anaongea pumba sana.
Klopp kashapagawa aisee msimu huu uishe mbona atasema mengi..

Kwanza Manchester City walichelewa kupumzika kwani walishiriki Uefa Ureno hivyo hizi bla bla za Klopp wala hazina ukweli wowote...

Bora Trent kajisemea hii misimu mitatu vijana wametumika haswa na huku kikosi finyu hivyo wear and tear sasa inawakamata kweli kweli japo wanapambana kurudisha makali kwani ndio majukumu yao...

YNWA
 
Hata mimi najua hii ni kama fainal ,yeyote atakayekuwa na mbinu bora basi anatoka na point tatu

Mimi binafs naamin liverpool bado ni title contenders ,

Linapokuja swala la kuamua match kama hii ,liverpool inakuwaga ngumu sanaaa

Mifano ipo mingi sanaaa
Tutakua contenders endapo leo tunatoka na pointi 3 muhimu sana huku pia tukitegemea Manchester City apoteze mechi zingine ina maana tunaanza ramli kuwaombea vipigo angalau vitatu lakini pia na sisi tushinde mechi zetu zote kuanzia sasa mpaka mwisho wa msimu...

Tunafahamu huu msimu kwa kweli hauna mwenyewe ila mpaka sasa Manchester City bingwa mtarajiwa sioni Pep akipoteza mechi 3 kwa hali ilivyo.. Msimu huu wamefungwo goli 13 mpaka sasa duh ni ishara tosha ukuta upo kamili na wote tunajua ukuta imara unakuletea ushindi wa makombe...

YNWA
 
Mkuu hiyo mechi city leo,kushinda hawezi labda sare maana kwa liverpool ni kama imebeba hatima ya ubingwa msimu huu,japo watu hawazungumzi .hiyo ni fainali kwa liverpool ni muhimu sana washinde hiyo mechi.

Liverpool akifungwa hilo gap la point litakuwa kubwa sana na city atakuwa tayari anasubiria kutangazwa tu(kwa tunaojua mpira).
Mkuu Ladder 49 una roho ngumu yaani Liverpool hii bado una imani nayo kumstopisha Pep leo...

Manchester City na Liverpool wanacheza almost same game plan.. Repossessing the opponents the ball up high na kuanza mashambulizi immediately.. Pazuri Citizens kikosi pale nyuma wapo kamili Diaz amekua kama VVD influence yake to his fellow back line mpaka sasa kamfanya Stones kua kisiki with lots of confidence hii ndio inampa Pep jeuri anajua pale nyuma amepata mwamba..

Sielewi kwetu leo pale nyuma atasimama nani aidha TAA Kabak Fabby Robbo ama TAA Nats Fabby Robbo nk na pia pale kati tuliona gemu mbili Gini alicheza DM na ku release Thiago acheze as 8 ilikua na impact kubwa mno...

Kwa Klopp ninaemjua mie usishangae kumuona out of form Ox akiwa 1st 11 leo kisa tu ana magoli kadhaa dhidi ya Citizens haha...

Kwa kulinda heshima Anfield ya kutofungwo mechi 3 mfululizo nitapokea sare kwa moyo safiiii..

YNWA
 
Kwa hiyo sisi tunafungwa kwa sababu ya kutopata mapumziko?

Binafsi naonaga anaongea pumba sana tukishakuwa hatuna mwelekeo.
Mbona ni kawaida hiyo kwa makocha kuongea kitu chochote kuwatetea wachezaji kwenye media hata pep mwenyewe kwenye clip zake za dressing room anawaambia wachezaji "nyie chezeni uwanjani ila kwenye press mm nitawabackup kwenye hali yoyote " so sidhan kama kuna siku itatokea klopp aanze kuponda kikosi hata kama wachezaji wamecheza utumbo

Maneno kama "mental fatigue" sijui "fluidity" mara "flexibility ilikuwa down" hayo ni ya kuwapooza mashabiki na media ila kwenye dressing room lazima makavu live yapelekwe kwa wahusika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom