Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klopp made 2 terrible subs when we were doing just fine at 1-1..

Its not about injuries.
Klopp is fatigued man he ain't reasoning clearly...

Again this loss on him plus Allison..

Sijui leo atasingizia nini..

Simple the better team won..

Did we have a plan nope..

Next game why not take a gamble and have TAA Kabak Davies Robbo at the defence and have MF ya Jones Thiago Gini front Mane Bobby Salah.. Tulipofikia sasa he need to take risk with new dimension whats was working last season aint working this season and Klopp need to evolve..

YNWA
 
Ndiyo soka
Kipa wetu alikuwa na mechi mbaya sana leo labda kuliko muda wowote toka aanze soka!
Tumefungwa wote,tunarudi kwa mechi ijayo
 
Hawa ndo vijogoo tunaowajua, n mwendo wa kuliwa nyumbani kwenu
 
Mnarudi mlipo toka, mtasubiri miaka 30 mingne kuja kuchukua tena EPL, mafanikio yenu yamekua mafupi kama maisha ya mbu,
Kocha wa Barcelona Ronald Koeman anafukuzwa mwisho mwa msimu, Barcelona washafanya mazungumzo na Klopp (behind the scene) wanamchukua July.
RIP Looserfool mtakumbukwa kwa kukamia mechi
 
Hays yanayotokea kwa Kipa ni sababu ya kushambuliwa kumbuka kuwa Man City hawaondoki golini kwetu.

Sasa tunaitafuta sababu ya kushambuliwa ndiyo hapo tunalaumu Sabs za kina Milner wakati Jones alikuwa anacheza vizuri tu
Wala sio kushambuliwa, Alisson aliyewapa ubingwa wa UEFA na EPL kwa standout performance hawezi kabisa fanya silly mistakes kama zile, hata KEPA wa Chelsea hajawahi kufanya makosa kama hayo. Kubali tu kuwa Alisson leo kichwa chake kilikuwa kwa malaya wake, haikuwa uwanjani kabisa. Hata ukienda kumuuliza Alisson atakuambia hivi hivi. Anyway mimi nafurahi Betting yangu imeenda vizuri nangojea mshiko tu
 
Hivi tumemsajili Kabak kuja kibali bench? Kweli? Huyu mzee basi tena kutuuza aisee! Henderson na Fabinho walitakiwa warudi kwenye nafasi zao!
Yaani ndio hapo ndugu utadhani kama sisi ndio tunaongoza Ligi...

Kweli nimeamini Klopp hapangiwi..

Ma pundits wengi walisema leo Kabak ataanza na Fabinho lol kumbe Klopp alikua na mipango yake na amefeli vimbaya...

We were poor wala hatuna cha kujitetea aisee...

Pep Champions Elect...

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom