Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wakati huu tunapoelekea ucl tunatakiwa kuwa na kikosi imara na cha kazi ili angalau tuambulie kikombe chochote kama si EPL basi UCL turudi nayo
 
Nathan Phillips jamaa ni Old school defender hahahahahahahahah
Nathan yuko vizuri na ametulia huyu ni kumpa mechi na atakuwa defender mzuri sana tu na ukweli hata mechi alizopewa chache alikuwa vizuri lakini nilikuwa nashangaa tu mechi inayofuata anakaa nje sasa sijui labda kocha alikuwa anaona kitu ila kwa mechi alizocheza anacheza kuliko umri wake unavyoonesha. Ni defender mzuri na atakuja kuwa mzuri sana more games tu.
 
Hapana ni smart business, unajuwa sio kwamba hatuna defenders ila wameumia siku watarudi na kina Phillips vijana wanakuja vizuri hii ni kama backup. sasa huwezi kwenda kununua defender wa Million 50 huko kesho unamweka bench. kumbuka hata Robertson tulivyomchukuwa Mil 10 alikuwa kama anakuja kusaidia tu toka bench na watu walibeza lakini leo yuko wapi. mimi nadhani biashara nzuri million 2 mpandishe thamani kesho watu watasema daa million 2 tu walimpata kama leo wanasema mil 10 bei rahisi kwa Rob.
Duh 2m defender?

Hatari huu ubahili
 
Mkuu wale wengine wawili imeshindikana?
Mpaka sasa naona Edwards anatulia kwa huyu kwanza kwa vile mkataba wake unaisha Juni 2021 hivyo bei yake angalau ina unafuu na pia Preston wanakumbali kumchukua beki Sepp kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu.. Na kingine huyu ni homegrown hivyo hata pale Liverpool watashindwa kuuza any foreign player basi usajili EPL wake unakua sio complicated..

Japo anatokea Championship scouts department walishamtazama kwa muda mrefu na wamejiridhisha atasaidia kwenye huu mpito wa haya majeruhi..

Sheffield United walipeleka ofa ya £10m dirisha la October wakakatiliwa na pia Celtic nao walikua wamekumbaliana nae Juni 2021 ajiunge kwao huku pia Bournemouth nao wakiwa wamepeleka ofa ya £3m January hii lakini sasa mvuto wa kucheza Champions League na kujiunga na Liverpool is so so sweet to turn down haha na lile hug la Klopp...

Departures Adrian wanajaribu kumtoa hata bure..

Muda bado upo tutaona ni vipi..

YNWA
 
Sawa mkuu ahsante kwa maelezo mazuri sana
 
Tukitoa draw itakuwa basi tena, tunabaki tunatafuta top 4 tu.

IMG_3021.jpg

Man C ndiyo ana anza mzunguko wa pili baada ya kucheza na Liverpool.
Liva ana majeruhi kibao bado tupo kwenye mbio za ubingwa lkn Man C kakosa tu KDB mechi na SU walicheza kama Bata,bila ubunifu wowote ule
Mungu yupo na sisi,tunaenda tetea ubingwa wetu
 
Nyie shindeni match zenu maswala ya kuombea city tupoteze ,ni kujitekenya na kucheka wenyewe

Mtabaki mnakimbiza upepo tu ....

Next burnely ,tunampiga goli tano ,then tunakuja hapo anfield .

Ndio mtajua kuwa kumfunga spurs na westham sio kigezo cha kumpiga city hahaaa...

Mnakumbuka zile goli tanoo ...mane akala umemee ,zinakujaaaaaaaa

Cityzen chairman
 
View attachment 1691387
Man C ndiyo ana anza mzunguko wa pili baada ya kucheza na Liverpool.
Liva ana majeruhi kibao bado tupo kwenye mbio za ubingwa lkn Man C kakosa tu KDB mechi na SU walicheza kama Bata,bila ubunifu wowote ule
Mungu yupo na sisi,tunaenda tetea ubingwa wetu
Wewe game ya burnely hapo anfield si ulicheza kama kuku mkuu ....
 
Sawa mkuu ahsante kwa maelezo mazuri sana
Ni mwendo wa 5G usajili beki.. Huyu itakua ngumu kutua maana mpaka muda huu Marseille hawajapata replacement.. Pazuri ikishidikana hii dili waimalize mwezi wa sita aisee.. Haya maisha kubahatisha MF kama beki sio kabisa..

Liverpool are reportedly interested in making a transfer deadline day move for Marseille defender Duje Caleta Car.

According to the Daily Mail, this deal doesn’t have anything to do with the Reds’ apparent signing of Preston North End centre-half Ben Davies.

There may be a stumbling block in Liverpool’s attempts to sign the Croatia international, though – with Marseille said to be struggling to find a replacement for the 24-year-old.

Caleta Car fits the bill for the Reds, in any case, he’s a ball-playing centre-half who likes to start attacks from the back.

YNWA
 
Anfield Watch Verdict on Davies..

We have not seen much of Davies. But, with Virgil van Dijk, Joe Gomez and Joel Matip all injured, we are glad that Liverpool have signed a centre-back.

Davies has made 19 appearances in the Championship this season, which highlights that he has been playing regular senior football.

Davies has been averaging a WhoScored player rating of 6.82 in the Championship this campaign, also. That does suggest he has been performing quite well for Preston.

Davies is currently 25 years of age, which we believe is a good thing. It is common knowledge that 25 is the age where you begin to play some of your best football.

Hopefully that’s the case for Davies. We want to see all of Liverpool’s signings succeed

YNWA
 
Makocha wanajua zaidi kuliko sisi but natamani kujua ni sababu zipi zinamfanya Kocha amuanzishe Origi ahead of Minamino.

MY TAKE: Iwapo Origi atafunga au kuassist goli hakutabatilisha niliyoyaandika.
Kuna muda Pep aliwai ulizwa hili swali kwamba inakua aje Mahrez muda mwingi yupo benchi nk huku pia price tag yake ikiwa juu haswa... Pep akajibu timu inachaguliwa mazoezini mchezaji anaejifua zaidi kuelewa majukumu yake uwanjani ndio huyo huyo atapata kucheza zaidi..

Kwa kweli nilimwelewa Pep hivyo pengine kijana wetu Taikumi nae kama Mahrez aisee..

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom