King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,417
- 7,370
Sisi Liverpool HALISI tunaruhusiwa kumsema Origi?
Tuendelee kushikamana
Sisi Liverpool HALISI tunaruhusiwa kumsema Origi?
Origi mpaka anaona aibu yeye mwenyewe.
Origi asingekuwepo labda tusingechukua UCL 2019.Miongoni mwa Watu waliopata bahati kwa kuwa wachezaji wa Liverpool ni huyu jamaa
Mnaondoka na hela yangu.Tungekuwa na Mane hapo + Juhudi za Salah muda huu tungekuwa tunaongoza hata goli 2
Draw inawatosha kuku nyie
Pumbavu
Aache ujinga huyo jamaaSubiri dak90 ndio uje uongee ujinga hapa.
Origi asingekuwepo labda tusingechukua UCL 2019.
Ni utani tu lakini! 😀 😀
Yaani sijaona chochote alichofanya. Hatakiwi kuanza tenaOrigi anajigongagonga tu humo ndani! 2nd half asirudi bwana!
Matusi ya nini khanithi wewe?Draw inawatosha kuku nyie
Pumbavu
Tunazidiwa na vi Leeds vinawachambua Leicester? Hii no aibu sana kwetu!
Mimi nasemea namna vinavyofunga magoli mazuri!Kwani Leicester sisi hatukumfunga?
Nafikiri jamaa anajitahidi sana sema ndo hivyo , nimeona striker's stuff kwenye game hii kutoka kwake ingawa anatakiwa kuwa makini zaidi anakosa umakiniOrigi mpaka anaona aibu yeye mwenyewe.
Napatwa na ndoto mbaya kuwa, tutakuwa kwenye hali gani kama Klopp atamaliza muda wake LFC.



