King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,417
- 7,370
Naona tunamtaka Ben Davies sasa! FSG kwa vyabure hawazidiwi
Napatwa na ndoto mbaya kuwa, tutakuwa kwenye hali gani kama Klopp atamaliza muda wake LFC.
Nilichomaanisha boss ni kwamba KLOPP anaficha madhaifu ya timu na Mabossi kiujumlaTatizo siyo Klopp, binafsi nadhani tatizo ni matajiri.
Tungekuwa na Mane hapo + Juhudi za Salah muda huu tungekuwa tunaongoza hata goli 2
Exactly.HT 0-0
This game is crying for Mane's creativity. In his absence, the closet could be Jones!
Inategemea na fomu ya uchezaji mkuu kwa sasa timu imeanza kuonekana ikitafuta ushindi siyo zile mechi 5 za nyumaNadhani Mpira hauko hivyo! Hivi unakumbuka tulikuwa na Mane na tumecheza mechi 5 bila ya ushindi huku tukafungwa na Burnley Nyumbani?
Hakuna anachofanya. Kwanza anatembea tu uwanjaniOrigi atolewe haraka
Shaqir Shaqir Shaqir!
Big Shaq ni mashine.Mnao mponda shaqiri mmemuona??