Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 8,069
- 20,330
Shangilia ya Gini bwana, kama dharau vile kwa wapinzani!!
Hiyo ni shangalia ya vvd,yeye ameiga tu.
Shangilia ya Gini bwana, kama dharau vile kwa wapinzani!!
Inaonekana deal done kutoka preston £2m Ben Davies.
Naomba nipingane na ewew kwa viwango walivyoonesha Henderson na shakir Leo nadhani hawastahili kupata 7 kwa kweli..tunaweza kupinga kwa mapenzi tu binafsi Ila kwa yyt anaependa mpira na sio shabiki lazima atakubali huyu Henderson anaipigania Sana Liverpool,japo Hana uwezo wa gerrad Wala Messi Ila Ni mfano wa kuigwa kwa wachezaji wanaochipukia.Liverpool players rating vs Westham :
Alisson (6)
Alexander-Arnold (7)
Henderson (7),
Phillips (7),
Robertson (6),
Milner (6), Thiago (7)
Wijnaldum (7),
Salah (9),
Shaqiri (7),
Origi (6).
Subs: Jones (7), Firmino (7), Oxlade-Chamberlain (7)
Man of the Match: Mohamed Salah
YNWA
Spurs kapigwa na next match anakutana na Chelsea...
Spurs sasa anagombea top four..
Title zimebaki timu 3 Tu..
Soon tutabaki Sisi na city
Kweli na Tsimikas amepona sasa yupo fit asilimia 100 ngoja tuone vs Rejuvenated Seagulls kama atampuzisha ili kumpa recovery kwa ajili ya Manchester City na awe fit kwa UCL clash dhidi ya Red Bull..Robertson mechi ya pili hiii ha click vizuri
Why kocha hampumzishi!?labda uchovu..
Mkuu sio mimi hao ni Sky Sports...Naomba nipingane na ewew kwa viwango walivyoonesha Henderson na shakir Leo nadhani hawastahili kupata 7 kwa kweli..tunaweza kupinga kwa mapenzi tu binafsi Ila kwa yyt anaependa mpira na sio shabiki lazima atakubali huyu Henderson anaipigania Sana Liverpool,japo Hana uwezo wa gerrad Wala Messi Ila Ni mfano wa kuigwa kwa wachezaji wanaochipukia.
Sent from my M1 Lite using JamiiForums mobile app
Mkuu tembelea website ya Whoscored na Opta kule wameelezea kwa kina wanavyopata hizi data ama rating za mchezaji...Hivi hizi rating huwa zinatokana na nini?
Woow absolutely beautiful man...
Huyu ndio Laporte wetu anatumia mguu wa kushoto na Liverpool hatuna beki huyo kwa sasa so aje mazimaa...
Mkuu hawa Brighton hua sio watu wazuri aisee... Yaani i hope Klopp wont gamble kupanga kikosi tukikutana nao..Spurs kapigwa na next match anakutana na Chelsea...
Spurs sasa anagombea top four..
Title zimebaki timu 3 Tu..
Soon tutabaki Sisi na city
Mkuu wale wengine wawili imeshindikana?Huyu ndio Laporte wetu anatumia mguu wa kushoto na Liverpool hatuna beki huyo kwa sasa so aje mazimaa...
Pazuri Hendo abakie huko huko beki jana kapiga long pass za nguvu sana..
Fabby arudi kati bila shaka Milner atampisha..
YNWA