Bwana wee sina taarifa zake huyu Davies hapo Preston...Duh 2m defender?
Hatari huu ubahili


Ni ngumu kuelewa kwa nini Klopp hajawai kumwamini huyu dogo hapo nyuma maana sio kwamba alikua majeruhi...
Naamini huyu tangu mwanzo wa kupata pigo pale nyuma basi angeanza mpaka sasa basi angeshapata uzoefu wa kutosha EPL...
YNWA
Mo Salah anaweza chukua golden boot
Mnao mponda shaqiri mmemuona??
Yani hiyo na ile WBA, na Manure mpaka hapa sina hamu na zile gameWale watoto burnley sijui walituotea vipi!game inaniumiza roho mpaka sasa!!
Anyway cha msingi tugange yajayo...japo manure wanaumia Sana ushindi wetu wa leoYani hiyo na ile WBA, na Manure mpaka hapa sina hamu na zile game


Nat Phillips yupo vizuri Klopp hamwamini tuKlopp bana sasa Phillips alikuwa anampiga je benchi.Dah
Iliishia 3-1Ngapi wajomba zangu nimeacha 2 Vip Hali Nw
Another very hardworking W
Thank you Liverpool
BHA will be very hard to beat lkn sisi tuna mtegemea Mungu
Tuzidi kuwa karibu na team