LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,507
Sare hioo kwioo kwioo hio kwioooIvi kwamfano mukatoa sare, kutakua na ubaya wowote?
Gerald atakuwa ameiva!Napatwa na ndoto mbaya kuwa, tutakuwa kwenye hali gani kama Klopp atamaliza muda wake LFC.
Hivi Salah akichukua Golden boot itakua mara ya tatu??
Yes, mara ya tatu ndani ya misimu 4.
Lol kwa namna hii combo ya Nat na Hendo inavyokwenda basi upo uwezekano mkubwa kabisa usajili wa CB ukasubiri mpaka Juni 2021...Origi kwasasa ndiyo Turufu yetu pekee ya kupata mchezaji kutoka Midtable Teams kwani tunaweza kumtumia kufanya swap
Lol kwa namna hii combo ya Nat na Hendo inavyokwenda basi upo uwezekano mkubwa kabisa usajili wa CB ukasubiri mpaka Juni 2021...
YNWA
Duh 2m defender?In the meantime usajili ni kwamba š š
Various reports suggest Liverpool are in talks to sign Preston defender Ben Davies for £2m before the transfer deadline.
YNWA
Ni ngumu kuelewa kwa nini Klopp hajawai kumwamini huyu dogo hapo nyuma maana sio kwamba alikua majeruhi...Fabinho akirudi acheze Tu nafasi yake middle
Katikati wakikaa fabinho ,Gini,na thiago..way Better
SureNi ngumu kuelewa kwa nini Klopp hajawai kumwamini huyu dogo hapo nyuma maana sio kwamba alikua majeruhi...
Naamini huyu tangu mwanzo wa kupata pigo pale nyuma basi angeanza mpaka sasa basi angeshapata uzoefu wa kutosha EPL...
YNWA