Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Dogo hana bwebwe anafuata defending basic rules... Kucheza Ujeremani kumemkuza kiasi fulani ukimlinganisha na Rys..Nat Philips ni mwisho wa matatizo. Antonio hapumui leo
Nats msimu huu amecheza mechi 5 na tumeshinda mechi 3 huku tukitoka sare mechi 2..hajapoteza mechi huyu dogo.
Jana stat zake zipo hivi.. According to WhoScored, Phillips had a pass accuracy of 84.2%, won four headers, took 84 touches, attempted one dribble, and made one tackle and four clearances.
Ana miaka 23 hivyo ana umri wa kumfanya kua bora zaidi especially kwenye kufunga mipira ya kichwa, pasi za mbali za mwisho nk..
YNWA