Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Lakini siku game itakapomkataa Kuna Washabiki hapa ndiyo watakapomkataa na kusema Auzwe kama walivyosema mechi 6 zilizopita wakati Timu nzima hakuna aliyekuwa anafunga.

Mahusiano ya mshabiki na mchezaji yanakuwa mazuri pale tu matokeo yanapokuwa mazuri.

Kipindi ambacho upepo ulikata, kila mshabiki alikuwa frustrated juu ya mwenendo wa hawa wachezaji, kila baya lilisemwa dhidi yao, na mimi sioni kama ni tatizo kumsema mchezaji anapokuwa hafanyi vizuri. Iwe kwa auzwe au awekwe benchi.
 
Liverpool’s chances of signing Ozan Kabak by the end of today appear to be growing larger and larger.

Schalke will only sanction a £2.5m loan if they can get in a replacement, but they’ve now approached Arsenal for the freely available Shkodran Mustafi – who will surely agree to come given he’s been completely frozen out at the Emirates.

Inakua ni mkopo wenye kipengele cha kumnunua Juni 2021.

YNWA
 
Kuhusu Watu kubeza Usajili wa Robertson Kiongozi naomba Ufute Kauli yako.
Mimi nina Ushahidi wa 100% kuwa hakukuwa na Mshabiki wa Liverpool yoyote aliyejua kuhusu usajili wa Robertson, sote tulikuja kumuona uwanjani tu na hatukujua kasajiliwa lini! Hivyo hakuna aliyepata nafasi ya kubeza.
Na kwa bahati nzuri game yake ya mwanzo alicheza uzuri sana ndiyo hapa tukaanza kufatilia kasajiliwa lini na alitokea Timu gani. Kama nasema uongo nakubali kusahihishwa.

Hizi kauli za kuwa tulibeza usajili wa Robertson zilianzishwa na baadhi ya Watu kwa lengo la kuwa Waonekane wapo Up to date kwenye taarifa hivyo wao walipata mapema taarifa za kusajiliwa Robertson jambo ambalo sio sahihi.
Naomba kufuta kauli ya kubeza labda ningetumia neno kuwa hatukuchukulia uzito kama usajili mzuri tilidharau na mimi mmoja wapo niliona kama tunaongeza number halafu mbona mtu kama hajulikani. Ni kweli hata mimi sikumchukulia kama atakuwa kama leo hii hata media za majuu ilikuwa kama usajili tu wakuja kuja back up tu.
 
Endapo Edwards atafanikiwa kuwanasa hawa mabeki walipo kwenye pipe line basi upo uwezekano mkubwa sana wawili kati ya hawa Matip, Rys, Nats, Gomez, Neco Juni 2021 wakauzwa..

Muda utasema..

FSG kwa kubana matumizi ndio wenyewe hivyo sioni kikosi kikiwa kipana hivi pale nyuma..

YNWA
 
KABLAK SPOTTED AT SCHALKE MEDICAL CENTRE

In the last few minutes, our colleagues at Sky Germany have spotted Ozan Kabak arriving at Schalke’s medical centre in Gelsenkirchen.

He is greeted by a member of Schalke’s medical team. The player is not injured so it is presumed that he is about to undergo a medical ahead of move to Liverpool.

Ni mwendo wa 5G medical huko huko kwao...

Tena aje leo leo
 
Ben deal in numbers..

Preston’s Ben Davies is having a medical at Liverpool this morning. It might not be the only new arrival at Liverpool today.

“We can tell you a little bit about the deal to sign Davies. We’re told a total of £500,000 up front. Structured add-ons as well worth up to £1.1m. That’s based on success with the club, appearances, even an England appearance clause as well and a 20 per cent sell-on on profit clause in the deal.

“Personal terms are also being sorted today as well. There are no problems anticipated there.

Hapana cheza na Edwards yaani ni mzee wa kulipa kwa instalments haha lol kweli huyu jamaa noma..

YNWA
 
Tena aje leo leo
Sijajua ukitokea Ujeremani kama unaingia karantini ama kuna upedeleo fulani maana niliona Kocha wa Les Blues fasta aliingia kazini hakukaa karantini..

Upo uwezekano akawa bench mechi ya Manchester City...

Mpaka sasa Pep upara unaongezeka kwa kasi maana hivi defensi ya kuungaunga tupo top 3 je tukiwa kamili itakua aje..

Kajisemea Gary Neville Liverpool are back.. Haha and damn we are back.

YNWA
 
Mpaka sasa Pep upara unaongezeka kwa kasi maana hivi defensi ya kuungaunga tupo top 3 je tukiwa kamili itakua aje..

Hapa kwa Pep hapa mechi yetu ya Jumapili itatoa majibu.

Msimu ule tulimwacha points 7, akazipunguza kwa kutufunga. Akabeba ubingwa kwa tofauti ya point 1 tu.

Tunatakiwa kufanya kama alivyofanya. Tumfunge kwanza.
 
Endapo Edwards atafanikiwa kuwanasa hawa mabeki walipo kwenye pipe line basi upo uwezekano mkubwa sana wawili kati ya hawa Matip, Rys, Nats, Gomez, Neco Juni 2021 wakauzwa..

Muda utasema..

FSG kwa kubana matumizi ndio wenyewe hivyo sioni kikosi kikiwa kipana hivi pale nyuma..

YNWA
Nat abaki tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom