Dua la kuku. Sisi sio wale wanaoshindwa kuzifunga timu zinazofanya vizuri. Baada ya dakika 90 tutakuwa tunakupumulia kisogoniMufungwe leo, ili muendelee kushuka kuelekea chini
Really bad news unatazama kikosi hatukosi kua na majeruhi nafasi muhimu aisee...Hivi kwanini injury zimekuwa chama kubwa sana kwetu kwa sasa
Malizana nao kwanza jamaa hao na nyundo yao.Dua la kuku. Sisi sio wale wanaoshindwa kuzifunga timu zinazofanya vizuri. Baada ya dakika 90 tutakuwa tunakupumulia kisogoni
Mfungaji sasa utakakomtoa!Kwa hii lineup mnafungwa. Mjipange kwa kupooza maumivuView attachment 1691074
Nimeona pia mashabiki wa 🛠 wanasema tuwape Origi huku Diop akihamie kwetu..
Kwa Origi bora wange negotiate kumchukua Traore huku FSG wakitoa na ela kiasi.. Traore value yake imeshuka mpaka £40m kutoka £100m ya mwaka jana kipindi alikua fire...
Saiss kutua Anfield watoe ela tu sio kumtoa Origi.. Naona baada ya ile dili la Jota huku FSG wakimtoa Hoever kama advance payment wamenogewa.. Origi atumike kumpata straika June 2021 maana sioni mashabiki wakirejea viwanjani hivi karibuni na hawa FSG wataedelea kulia noki hawa hata hii Juni sioni wakifanya usajili wa kueleweka..
YNWA
Umeona eh? Without him we look so predictable!
Leicester city chali huko na Leeds,dak 88 leicester kafa 3-1 nyumbani kwake dhidi ya Leeds.
SureHaijalishi nini anakifanya/atakifanya kwenye Mchezo huu lakini ukweli usiofichika Minamino ana kila sababu ya kuanza mbele ya Origi.
Kuegemea origi kufunga goli ni sawa na kutaraji radi kali wakati wa jua kali la kiangaziMakocha wanajua zaidi kuliko sisi but natamani kujua ni sababu zipi zinamfanya Kocha amuanzishe Origi ahead of Minamino.
MY TAKE: Iwapo Origi atafunga au kuassist goli hakutabatilisha niliyoyaandika.