mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,468
- 431,954
Atakuja fala mmoja humu anaongea mambo ya Liverpool halisi usenge mtupu
Mkuu heshima yako...Since Liverpool last lost a league game at Anfield:
Nine Marvel movies released
Nine new iPhones models made
Man United have spent £530M on playershttps://t.co/8c6noI5PdW
Kwema uko chief?Last time tumepoteza mechi Anfield watu walikuwa wanatumia iPhone 3..
Imagine that..
Hahahahahahahahah Man man told you Man , Hatuna timu ya ku challenge Title wala Top 4 .Klopp ni wakati sahihi ahame kutoka hi 4 3 3 yake...
Utamsikia Klopp mara ooh Barnes alitakiwa apewe kadi nyekundu...
Hapa asitafute mchawi akimbie ofisini kwa Edwards wamletee namba 9 wa ukweli... Kama chenji ipo alete na AM mmoja wa ukweli maana ninavyoona huyu Thiago pass zake sio zile za mwisho ama pili kwenda mwisho...
Big up kwa fellow Kop Sean Dyche kushinda hii gemu... Proper game plan.. Relaxed and with a mission...
Have said so many times hatuna high speed to move the ball with accuracy when its matters..
Sasa jamaa zangu tunapambana kubaki BIG four na hali tete sana mechi 5 EPL bila kufunga sio bahati mbaya hii...
YNWA
Mkuu naona shinda kuu sio beki kwa sasa aisee pale mbele vijana hawasomeki hawapo clinical as before...Haiwezekani timu mabeki wote wako wodini halafu kusajili kimya kana kwamba pesa hatuna
Mkuu wewe ni shabiki wa ukweli,the writting was on the wall.Klopp ni wakati sahihi ahame kutoka hi 4 3 3 yake...
Utamsikia Klopp mara ooh Barnes alitakiwa apewe kadi nyekundu...
Hapa asitafute mchawi akimbie ofisini kwa Edwards wamletee namba 9 wa ukweli... Kama chenji ipo alete na AM mmoja wa ukweli maana ninavyoona huyu Thiago pass zake sio zile za mwisho ama pili kwenda mwisho...
Big up kwa fellow Kop Sean Dyche kushinda hii gemu... Proper game plan.. Relaxed and with a mission...
Have said so many times hatuna high speed to move the ball with accuracy when its matters..
Sasa jamaa zangu tunapambana kubaki BIG four na hali tete sana mechi 5 EPL bila kufunga sio bahati mbaya hii...
YNWA
YametimiaLitakufa jitu leo nipo macho had mufungwe vilaza nyie
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app