Nilijua msimu huu ni mwisho.Nilichobakia kwetu kwa msimu huu ni kusubiri tu Record ya Anfield kufikia ukomo msimu huu.
Burnley did thier homework...Nilisema tutafungwa goli kipumbavu, hilo hapo sasa!
City walikuwa wamechokaNyie mlibebaje kombe kwa vilaza hawa, au mlikua mnakamia? Mkifanya masihara hata Top4 hamuingii
Mbele mnakosa maarifa kabisa mkuu... Vijipasi pasi vya kitoto kwenye D na mstatili!Msimu ulioisha, Burnley peke yake ndo alipata draw Anfield.
And now amekuwa wa kwanza msimu huu kututoboa.