Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Haahahaaa, pole sana Mkuu ila tunaheshimu maandishi na maelekezo yako.
Hahaha, nimeikumbuka hii maana nilitaka kumjibu jamaa nikaona uvivu nikakausha.
Haahahaaa, pole sana Mkuu ila tunaheshimu maandishi na maelekezo yako.





Mamamamae na tunawakuta baada ya mechi 4 tutakuwa sawaAnfield imebomoka!










Draw muipate wapi ni kipigo tuYaani na hii tulitoka draw, kwaheri ubingwa!







Maombi yenu yamejibiwa. Nobody should blame anybodyHii game tukishinda Matusi watakayomiminiwa Salah na Firmino sio ya Nchi hii.
Miongoni mwa kauli zitakazoibuka ni:-
- Asipocheza Salah tunashinda => As If leo ni ya kwanza kushinda.
- Tumeshinda kwasababu Bobby na Salah hawakucheza.
Tusiposhinda hawa waliopongeza leo watabadili gia angani na kusema kinyume chake
Mamamamae na tunawakuta baada ya mechi 4 tutakuwa sawa![]()