Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
.
Mmeliwa tunda kimasihara
Burnley wapo kwa rikboy wanatoa story tu sasa hiv![]()


ngapi ngapi mkuu?tulikua tunategemea sana kupitisha mashambulizi pembeni mana kati hatuna wachezaji wa kutengeneza magoli, sasa robo na taa wamezidiwa, tunakosa mbadala!Kabisa mkuu wameshatujulia ni mwendo wa kukaa nyuma tu.
Mkuu me naona TAA NA ROBERTSON Sio kwamba wanazuiwa tu hata wakipiga hayo majaro yao hawapigi vizuri,kwenye mechi ukiangalia crosses tunakuwa tumepiga nyingi ila ndio hivyo hazina macho.mechi ya jana crosses tumepiga 40,wao wamepiga 10 tu.
Na kwa sasa hatuna njia nyingine ya kufunga magoli maana kona hatuwezi magoli ya mbali Fabinho yuko nyuma huko,wala kuzuia kona hatuwezi.
mkuu tulizungumza sana hapa kwamba front 3 yetu basi wawili wauzwe abaki mmoja, tukasemwa hatuna uelewa!
ile timu ilipeak, haikua na maajabu mengine tena zaidi ya kushuka........,,,,,, no way lazima pale mbele wa2 waondoke waingie wapya
Mi naona kwa kweli Klopp kuumia kwa VVD na Gomez kunamyima system flexibility...Kabisa mkuu wameshatujulia ni mwendo wa kukaa nyuma tu.
Mkuu me naona TAA NA ROBERTSON Sio kwamba wanazuiwa tu hata wakipiga hayo majaro yao hawapigi vizuri,kwenye mechi ukiangalia crosses tunakuwa tumepiga nyingi ila ndio hivyo hazina macho.mechi ya jana crosses tumepiga 40,wao wamepiga 10 tu.
Na kwa sasa hatuna njia nyingine ya kufunga magoli maana kona hatuwezi magoli ya mbali Fabinho yuko nyuma huko,wala kuzuia kona hatuwezi.
1-0ngapi ngapi mkuu?
Ni kweli. Haujakosea.Dah! Wewe kweli mgeni hapa
100% nakubali tunatabirika sana na mfumo 433 nadhani ni wakati wa kwenda na mfumo tofauti kidogo na tu test jumapili FA. Kila game tuweke mfumo kutokana na team pinzani hatuwezi wote ikawa 433 imekuwa hata kikosi mimi naweza kupanga. Tatizo majeruhi kama Keita na Dioto ambao wanaweza kufit katika system tofauti kidogo. Tu support team yetu haijalishi tunapitia nini kama tulivyo support team yetu kwa miaka 30 katika kipindi kigumu.Kumfunga Burnley kweli ndiyo tunahitaji VVD? Serious? Not only Wachezaji but na Kocha pia anahitaji kuangalia upya mbinu zake.
Tusiwaangalie wachezaji tu bali tuangalie na mbinu za kocha pia.
Umeniacha hoi hapo kwenye '.... na kuleta makombe mengi Anfield'Tukumbaliane pamoja na forwards wetu kuwa na ukame ni shinda kubwa lakini shinda kubwa zaidi kwetu ni kuwakosa VVD na Gomez pale nyuma ili kum release Fabinho nafasi yake kunamyima Klopp flexibility ya mfumo wake aliokomaa nao na kuleta makombe mengi Anfield...
Last season wakati tunashinda gemu baada ya gemu hali ya mfumo uwanjani ilikua kama hivi hapa chini...
How we play..
When Liverpool push the full-backs high
We will all be in agreement that it has become a trend from this present Liverpool to build an attack from the back using the full strength of the full-back. When doing this, it is easy to see the team change into a 2-1-4-3 shape.
With the Reds pushing the full-backs high, it leaves them with an option of playing two against two or three against three and as dangerous as that may seem, Liverpool is always happy to play it and ready for the task.
In defensive areas, it gives them the power to smother the opposition in their final third, not allowing them to play out or cover more grounds.
This one often builds from the defensive triangle of the centre-backs and Fabinho(we miss him so much at DM).
When Liverpool progress with the ball
It is no more a secret that Liverpool’s build-up play is from the back, using the wing. It is a different outlook when they are progressing with the ball, however.
This is the time we see the full-backs join Gini, Wijnaldum, and Henderson in the middle after breaking the opponents’ press. In the same vein, Roberto Firminho(lost) then drops into the fabled half-space, where he loves to occupy, letting Mo Salah and Sadio Mane come narrow.
This 2-1-4-1-2 leaves Andy Robertson out of the show but also provides Liverpool with a wealth of attacking options.
When Liverpool dominates
Anyone who pays close attention would have seen this in play more than once. It is when Alexander-Arnold and Andy Robertson continue making the switch they usually do to wear the opposition out...
This is when they assume the 2-2-5-1 shape, constantly moving the ball across the line of five to mentally and physically exhaust the opposition.
Conclusion
Believing that the 4-3-3 formation is what Liverpool uses all the time is a far stretch and might be why Liverpool had remained unbeaten but then again, other teams might have known but haven’t found the mental capacity to play against such beautiful technicality but now new season we are caught pants down losing and draws lol sio poaa kabisaaa..
4 3 3 to work wonders like before we need a complete squad that is Allison, Robbo, VVD, Robbo, Gini, Hendo, Fabinho, Mane, Salah, Firmino... That means high intensity will be full throttle.. Lol hii msimu huu ngumu kumeza na haya majeruhiiii...
YNWA
Mkuu mbona hata nafasi zikipatikana bado hawa jamaa wanashindwa ku score? Imagin jana wote wamepata nafasi wamezichezea,Mkuu kwa sasa wapinzani wetu wameshatujulia... Namna ya kuzima magoli kwetu ni rahisi as ABCD kwanza kuhakiki space za kupiga klosi kwa TAA na Robbo hazipo na pia kuhakiki kuna lots of bodies in the final 3rd hivyo wanakaa wana relax wanatusubiri..
Timu zinajua ukiua threat ya TAA na Robbo hatuna jipya kwani muda mwingi magoli yetu hutokea pembeni na sio kati na hili gemu ya 5 sasa EPL limefanikiwa mno na mpaka sasa Klopp anakomaa na 4 3 3 which works best penetrating using the flanks either Right ama Left...
We are walking in a very thin line ndugu..
Hao unaosema sio mechi ngumu wapo wachache hivyo kuwafunga na kutoa sare ama kufungwo na hawa wengine ambao ndio wengi bila shaka hata Big 4 tuisahau...
YNWA
Klop anajua soka management, Origi ametupa UEFA, Origi aanze kikosi cha kwanza, Tuzidi kushikamana, achana na LIVERPOOL MASLAHIKama Salah hafai, Bobby hafai, Origi vipi ndiye anayetufaa?
Munasemaje wadau Origi aendelee kupangwa?
Sasa united ajiandae kupangiwa kikosi zaidi ya alichopangiwa Villa. Villa alijifanya anachezesha under 23 alishangaa kujikuta ana kwa ana na vibaba vya Klopp. Sasa safari hii uhakika wa ligi umeyeyuka huku yeye mwenyewe klopp akikiri hilo naona sasa ataanza kuwinda yale makombe aliyoyapachika jina la mickey mouse trophies.
United hiyo mechi wanakufa as wenyewe wameelekeza nguvu kwenye ligi.
Wewe hujui Soccer Management, umetoka zako Kishumundu huko unamkosoa Klop? Nani hayaogopi Majogoo?Kabisa mkuu wameshatujulia ni mwendo wa kukaa nyuma tu.
Mkuu me naona TAA NA ROBERTSON Sio kwamba wanazuiwa tu hata wakipiga hayo majaro yao hawapigi vizuri,kwenye mechi ukiangalia crosses tunakuwa tumepiga nyingi ila ndio hivyo hazina macho.mechi ya jana crosses tumepiga 40,wao wamepiga 10 tu.
Na kwa sasa hatuna njia nyingine ya kufunga magoli maana kona hatuwezi magoli ya mbali Fabinho yuko nyuma huko,wala kuzuia kona hatuwezi.