Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

20210105_160159.jpg
 
Kwenye kila msimu Timu zina kawaida ya kufika kipindi zikawa zinadrop points ambapo sisi mara nyingi ilikuwa ni Jan - Feb.

Sasa mara hii imetokea December, Sasa hawa wanaopiga kelele hapa itafika kipindi chao nao kudrop points tena kwenye kipindi kibaya zaidi cha round ya pili ambapo sisi tayari tutakuwa tumesharudia mchezoni hapo ndiyo watakapokimbia wote hapa.

Hilo swala mkuu nalijua,ndio maana sina wasiwasi,ila jana kupoteza sijapenda maana niliona timu yetu tunapoteza kwenye draw tu sio kufungwa.

Kila timu ikifanya vibaya inapoteza kwa kufungwa sisi kupoteza ilikuwa draw.

Na uwakika game yetu pale anfield na Manyumbu tutawafunga.

Kwa hiyo Hao Manyumbu raundi ya kwanza watapoteza mechi 4.sasa raundi ya kwanza wamepoteza mechi 4 ya pili 4 tena? Kama msimu mzima kapoteza 8 .hakunaga bingwa wa Epl anapoteza mechi 8 Halafu anakuwa bingwa.raundi ya pili ndio ngumu sana wafungaji magoli magoli yanapungua.

Kwa navyoona city na sisi ndio tuko siriaz na ubingwa na ndio tunasifa zote mpaka sasa za kuwa bingwa.
 
Luverpool HALISI nawasihi tuendelee kuwa karibu na team na tuepuke kutukana wachezaji na jopp la ufundi,tuwaachie Liverpool feki kazi hiyo!
Vijana wamechoka,wamecheza mechi nyingi sana lkn sasa tunapumzika na tunarudi baada ya weeks mbili!
Genius Klopp atarekebisha mambo
Tupo pamoja mkuu,
Mapendo daima
 
Hapa ndiyo inakuja ile kauli ya kuwa Klopp hana Plan B.

Klopp ni Kocha bora sana lakini with limited Plan ya only attacking by using Fullbacks.

Plan B ilikuwa iwe ni kuswitch from using Fullbacks to Midfielders! FBs zetu zinapopotea alikuwa atumie Midos kucreate nafasi using Center of the pitch hiyo ndiyo Plan B, but kwa Mido gani?

Kwa Mido gani mkuu.
 
Umenza vizuri ila umeharibu hapo mwisho.
Sijui ni ushabiki ama vipi?
Labda ulitegemea nani awe juu ya msimamo ndio uamini anastahili?
Mkuu zile zama zime rudi.
Huna timu hiyo, Linghadinho aongeza mkataba wa 5yrs
 
Swala la muda tu wataondoka tu hao .tuna nafasi kubwa sana.bado tunasifa zote za kuwa bingwa.

Kelele zao hao mashabiki wa Manyumbu zisikutishe mkuu. Kuongoza hata ligi wajaongoza wanaleta kelele kama wamechukua ubingwa.
Humu atujavami, bali tumeliteka kabisaaa!
Nangoja Aston Villa aje kuchoma kibanda chenyewe hichi.
 
Hilo swala mkuu nalijua,ndio maana sina wasiwasi,ila jana kupoteza sijapenda maana niliona timu yetu tunapoteza kwenye draw tu sio kufungwa.

Kila timu ikifanya vibaya inapoteza kwa kufungwa sisi kupoteza ilikuwa draw.

Na uwakika game yetu pale anfield na Manyumbu tutawafunga.

Kwa hiyo Hao Manyumbu raundi ya kwanza watapoteza mechi 4.sasa raundi ya kwanza wamepoteza mechi 4 ya pili 4 tena? Kama msimu mzima kapoteza 8 .hakunaga bingwa wa Epl anapoteza mechi 8 Halafu anakuwa bingwa.raundi ya pili ndio ngumu sana wafungaji magoli magoli yanapungua.

Kwa navyoona city na sisi ndio tuko siriaz na ubingwa na ndio tunasifa zote mpaka sasa za kuwa bingwa.
Suala la manchester united kupoteza mechi 8 msimu huu sahau.

Alafu mbona unalazisha kua City yuko vizuri?
Kumbuka City ana viporo vigumu vitupu, Evaton na Aston Villa sio wakutoa points kijinga.
 
Niwakumbushe tu, msimamo msimu huu utaishia hivi

MANCHESTER UNITED

EVATON

LIVERPOOL

CHELSEA

TOTENHAM

MANCHESTER CITY

Ukibisha nakupasua.
 
Suala la manchester united kupoteza mechi 8 msimu huu sahau.

Alafu mbona unalazisha kua City yuko vizuri?
Kumbuka City ana viporo vigumu vitupu, Evaton na Aston Villa sio wakutoa points kijinga.
Kwa iyo Man City ndio atawapa Point hao kijinga

Man Utd fans are very stupid, empty headed

Ona Kama huyu, ni bonge la kilaza
 
Aston Villa washawahi kumpiga mtu bao 7, wewe ushawahi?
Kukutana na Evaton kwa sasa, nibola ukutane na aseno.
Kwa iyo Man City ndio atawapa Point hao kijinga

Man Utd fans are very stupid, empty headed

Ona Kama huyu, ni bonge la kilaza
 
Hilo swala mkuu nalijua,ndio maana sina wasiwasi,ila jana kupoteza sijapenda maana niliona timu yetu tunapoteza kwenye draw tu sio kufungwa.

Kila timu ikifanya vibaya inapoteza kwa kufungwa sisi kupoteza ilikuwa draw.

Na uwakika game yetu pale anfield na Manyumbu tutawafunga.

Kwa hiyo Hao Manyumbu raundi ya kwanza watapoteza mechi 4.sasa raundi ya kwanza wamepoteza mechi 4 ya pili 4 tena? Kama msimu mzima kapoteza 8 .hakunaga bingwa wa Epl anapoteza mechi 8 Halafu anakuwa bingwa.raundi ya pili ndio ngumu sana wafungaji magoli magoli yanapungua.

Kwa navyoona city na sisi ndio tuko siriaz na ubingwa na ndio tunasifa zote mpaka sasa za kuwa bingwa.
Uko serious na ubingwa unatoa sare na brighton,newcastle na kufungwa na soton?

Hata Mourinho yupo serious na ubingwa sema sasa mipango inakataa,the same applies to United.
 
Na inaumiza, maana dogo ni moja ya nguzo za mashambulizi.

Walau front 3 ingekuwa clinical angerudi haraka kwenye kiwango, sasa jamaa zetu hata pasi chache wanazopewa wanazitumia vibaya.

Toka ligi imeanza, Liverpool alikuwa hajamaliza game bila goli, ila sasa game 2 mfululizo zimepita bila goli!

Ukiacha draw na kufungwa, swala linalonipeleka kwenye panic mode ni kumaliza game 2 mfululizo bila goli hata moja!

Nikirudi tena kwenye Umuhimu wa kutumia Takwimu kupima uwezo wa Wachezaji:

Msimu huu nimeshuhudia kuibuka kwa Washabiki wanaowapima wachezaji hasa Washambuliaji kwa kuhangaika uwanjani!

Hivi ni kweli tunahitaji washambuliaji wanaohangaika au Wanaofunga magoli??

Nakumbuka kipindi cha Nyuma tulikuwa tukipinga sana uchezaji wa Henderson, You know why? Baadhi ya Washabiki walikuwa wana kuwa eti anahangaika sana uwanjani kila sehemu yupo! Sisi tukawa tunabishana kwa takwimu kuwa Je huko kuhangaika kwake tuonesheni takwimu anachokifanya ni nini? Wakakata kutumia takwimu wakidai "Eti hana takwimu Nzuri lakini anahangaika". Anahangaika for what if namba hazisomeki??

Now sasa hii imeibuka kwa Front 3 yetu! Utaambiwa eti Mshambuliaji fulani ndiye yupo Vizuri kwasababu anahangaika uwanjani! Ebo!!! Wanacheza mechi 3 na kufunga goli moja then someone from nowhere analeta habari za kuhangaika uwanjani?? Hivi tupo serious na kombe kweli? Tumeajiri Watu waje kuhangaika? 'Kwanini tusiajiri Vichaa Waje kuhangaika Vizuri'?

Sisi tunachotaka sisi ni Out put tuone goli pale linatikisa Nyavu, Nothing else!!!

Kuhangaika kwa mshambuliaji bila ya goli alau Assist ni meaningless.

Kwasasa Front 3 yetu wote Watatu MANE-BOBBY-SALAH ni sawa tu hamna tofauti kati yao wala tusilete habari za kuhangaika wakati hakuna anayejua kuokotesha mpira nyavuni.

Just narudia tena! Kipimo cha Mshambuliaji ni Goal+Assist na si kuhangaika.
 
We jamaa unabadilika badilika sana.

Yeyote aliyetupa kombe la UEFA + EPL ameshasamehewa kabla ya kukosea.

Hivyo tuachie TAA wetu.
Hiyo taarifa niliiona subreddit ya Liverpool so nilidhani ni taarifa ngeni kwa humu ndani.

Southampton ni timu ndogo yenye mwalimu mkubwa na tumeshamjadili sana ralph hassenhutl.
 
Uko serious na ubingwa unatoa sare na brighton,newcastle na kufungwa na soton?

Hata Mourinho yupo serious na ubingwa sema sasa mipango inakataa,the same applies to United.

Yani Nyuzi zote mumekuwa Nyinyi ndiyo Wafalme munatamba tu! Kutesa kwa zamu hata sisi last season tulitamba lakini sasahivi maji tunaita Mma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom