Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,343
- 77,149
Mimi siyo shabiki wa liva.Mkuu city hawezi kukaa juu kama akilingana idadi ya michezo na Utd.
Utd atakuwa juu kwa point moja. Nakusahihisha...angalia vizuri msimamo...city ana viporo viwili ukilinganisha na nyie (liver) ila kimoja ukilinganisha na Utd.
Piga hesabu vizuri!
Pia ndiyo maana nimepoint kua na man u ana game mkononi