King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,461
- 7,456
Kwa Mido gani mkuu[emoji3].
Yani kila nikiangalia Mido zetu sioni wa kufikisha hata assists 5 kwa Msimu, Labda kupiga pasi za pembeni na za Nyuma hapo ndiyo wanachoweza.
Mtu pekee aliyekuja kutaka kubadilisha sura ya Mido yetu alikuwa ni OX lakini injury ni Mwanaharamu.
OX alikuwa harudi nyuma hata umuwekee War Tank bali basi ataipeleka mbele tu! Na kwenye maeneo ya kijingajinga ya Nje ya Box anaviambia Vifront 3 vyetu vikae pembeni na kuachia bunduki mwenyewe.
Lakini hawa Mikate ya kumimina tulionao wanachojua ni kujipost Insta na Twitter.