Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hili najiuliza how mwl halioni? Depth ya timu imeshuka but bado no additions.. Utd yenyewe ina flaw kwenye CB na miscellaneous kama RW na proper striker but kwenu nyie mlikuwa muwe na mbadala wa VVD na TAA muda mrefu na pale kati still huyu Muispanyola si mtu sahihi sana.

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app

Ubahili mkuu, na ile hali ya kuona kwamba kama iliwezekana na hawa basi itawezekana tu.

VVD tulijua hatakaa aumie, ila Gomes na Matip tunajua huwa hawawezi kumaliza miezi miwili wakiwa wazima. Tuliingia off-season tukamwachia Lovren aondoke na hatukusajili (labda tukiamini kwamba yeyote atakayepangwa atatupa matokeo). Wamejaribishwa vijana wamechemka.

Sasa hivi kama hatasajili beki wa maana, ataielewa EPL.
 
Nakubali.. Liverpool ya last season was fire ila wa chini yake labda tumuondoe vardy na timu yake walikuwa hovyo... As angalia msimu huu margin ndogo sana kuanzia nafasi ya 6 kupanda juu... Kingine wengine wengi wanasahau issue ya kukosa pre-season msimu imezicost hizi timu dearly na concentration ya kumalizia msimu after lockdown was so bloody breathtaking... Mpaka ssa naweza kusema baada ya game mbili zijazo za utd ndio kitu title race chaweza kuwa valid.

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app

Ukifanya analysis ya timu moja kwa game 17 za mwanzo last season na season hii, ni Manchester United peke yake ambaye anakuwa na +.

City anabaki alipo (assuming viporo vyake ameshinda)

1. Liverpool: 49 kwa 33: -16

2. Leicester: 39 kwa 29: -10

3. Manchester City: 35 kwa 35 (assuming viporo ni ushindi): 0

4. Chelsea: 29 kwa 26: -3

5. Spurs: 26 kwa 26: 0

6. Manchester United: 25 kwa 36 (kama akishinda kiporo chake): +11.

Doesn't this tell you something?

With that look, ni kwamba Liverpool amedrop sana.

Man Utd yuko on the massive plus. City yuko alipokuwa mwaka jana.

Ndo maana nikasema, bado timu ziko pale pale isipokuwa Liverpool kashuka sana.
 
Luverpool HALISI nawasihi tuendelee kuwa karibu na team na tuepuke kutukana wachezaji na jopp la ufundi,tuwaachie Liverpool feki kazi hiyo!
Vijana wamechoka,wamecheza mechi nyingi sana lkn sasa tunapumzika na tunarudi baada ya weeks mbili!
Genius Klopp atarekebisha mambo
 
Luverpool HALISI nawasihi tuendelee kuwa karibu na team na tuepuke kutukana wachezaji na jopp la ufundi,tuwaachie Liverpool feki kazi hiyo!
Vijana wamechoka,wamecheza mechi nyingi sana lkn sasa tunapumzika na tunarudi baada ya weeks mbili!
Genius Klopp atarekebisha mambo
Ata ukimtukana yupo madale atafanyaje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom