Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,079
- 12,319
Umenza vizuri ila umeharibu hapo mwisho.Mlivyochukua uefa wachawi tukasema hii timu inabidi isajili ili iwe fresh msimu ujao.
Klopp akasema hatasajili.
Timu ikachukua ligi. Wachawi tukarudia maneno tuliyorudia msimu uliopita.
Wakasajiliwa watu. Ila siyo mbadala wa trent na andrew. Klopp aliwaaminisha mashabiki kwamba yeye anadeal na makombe ya ligi na ucl, mengine siyo target, a plan to conceal ukweli kwamba hana kikosi kikubwa cha kutoa ushindani kwenye kila kombe.
Plan worked. liva ikifungwa fa au carabao mashabiki hawaoni tatizo, wanaita hizo trophy mickey mouse.
Maneno ya kutakiana mabaya ya misimu miwili nyuma yameanza kufanya kazi msimu huu. Trent ana workrate ndogo kuliko mchezaji yeyote kwa timu zote mbili kwa jana.
January hii hapa. Ili klopp aendelee na attacking fullbacks naamini anamuangalia lamptey na hakimi na anaona wanamfaa.
Liva inadrop points huku inacheza kwa kudominate, naamini baada ya goli la jana, wapo waliobeti live kwamba liva itashinda, unaona shots, passes, shots, unaamini kuna moja litaingia now ngoje nibet live niseme mechi suluhu.
Over time hata dominating a game itakua a distant memory, timu za ucl haziachani sana possession na liva na hilo likihamia kwenye ligi basi hapo itakua ni kuishi kile kipindi cha kuanzia 2008 mpaka 2014.
Kuhusu man u kushika namba moja, inakua ni kama kumuona tembo juu ya mti, wote hatujui kafikaje ila tuna uhakika ataanguka.
Uzi hukimbiwa timu ikianza mabreka. Ngoja tuone.
Sijui ni ushabiki ama vipi?
Labda ulitegemea nani awe juu ya msimamo ndio uamini anastahili?
Mkuu zile zama zime rudi.

