Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,079
- 12,319
Alisikika mlevi mmoja nje ya ubanda.
Sawa usisahau kutupa mrejesho ila ntakutafuta unipeleke kwa yule fundi yule mzee wa msalaba....Bado nalisaka jiwe.
Leo nimetoka maporini niko mjini nawaangalia watoto wa St Mary wakifanya yao.
Mkuu tupo vile vile kama gemu mbili zilizopita.... Tutawalazimishia Sare hawatoamini hao
Klopp's telephone number is 0151 230 5770 (From Europe 0044 151 230 5770) and the email address is slo@liverpoolfc.comMsimu ukiisha tumuache Salah aondoke zake tutafute mbadala wake, Anold abadilishwe namba na kurudishwa namba yake ya awali midfielder, Firmino vivyo hivyo False 9 haimfai tena arudishwe namba 10 yake na asajiliwe namba 9 mwingine wa kusaidiana na Jota..
VVD used to ne very vocal do you think we are lacking that bit of leadership now..Painful to watch this sluggish affair.
No tempo kabisa.
Mental problem.
Huyu Foster kipa wao hajacheza EPL miezi 10 iliyopita...Hawa vijana leo wamekuwa wapumbavu sana! Hakuna shoot?
Ingia ww ukajaribuHawa vijana leo wamekuwa wapumbavu sana! Hakuna shoot?
Mkuu wewe bado unaamini kuwa haya madungaembe yatashinda?Dakika ya 73 bado kimenasia.
Kushinda? Labda asbuh mpaka jioni.Mkuu wewe bado unaamini kuwa haya madungaembe yatashinda?
Mpewe tuta nyie viazi?
YepVVD used to ne very vocal do you think we are lacking that bit of leadership now..
YNWA