AggerFirminho
JF-Expert Member
- Sep 17, 2019
- 2,319
- 4,140
Ila hawa marefa naona kama Wana mpango na Liverpool maana naona wanatuminya Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila hawa marefa naona kama Wana mpango na Liverpool maana naona wanatuminya Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmefikia hatua hii🤔? 😂😂😂Ila hawa marefa naona kama Wana mpango na Liverpool maana naona wanatuminya Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ningekuwa na uwezo ningehamasisha mgomo baridi tukifunga hakuna kushangiliaIla hawa marefa naona kama Wana mpango na Liverpool maana naona wanatuminya Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpewe tuta nyie viazi?
Endeleeni kukomaa, maana Manchester United huyooo keshawasha and cater.
Kwahiyo sasa mwawalili marefaIla hawa marefa naona kama Wana mpango na Liverpool maana naona wanatuminya Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkifunga nini, shule au🤔?Ningekuwa na uwezo ningehamasisha mgomo baridi tukifunga hakuna kushangilia
Yote tisa,kumi timu yetu ni mbovu tunashinda kwa kubahatisha tu.Ila hawa marefa naona kama Wana mpango na Liverpool maana naona wanatuminya Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
👏👏Tunataka kauli nzuri kama hizi, sio maswala ya kulilia penalty.Yote tisa,kumi timu yetu ni mbovu tunashinda kwa kubahatisha tu.
Kombe ni la MAN UNITED😂😂😂kwa points jinsi zilivyopishana chache, bado ligi ni mbichi epl
Mumewageukia marefa sasa.Ila hawa marefa naona kama Wana mpango na Liverpool maana naona wanatuminya Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunataka kauli mzuri kama hizi, sio maswala ya kulilia penalty.