Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Katika posts zako zote hii naweza kuichukua, hongera sana.
 

Kwani kuna Goli linalofungwa bila ya Mpira kupita kwa Mabeki? 😂😂

Kwahiyo iwapo Beki amekosea kipa hana Jukumu la kuzuia?

Basi Timu zicheze tu game bila ya Makipa kwasababu wanaopaswa kuzuia ni mabeki na sio kipa.

Tulipocheza na Arsenal inaonesha Alison alifanya kosa kubwa sana kumblock Lacazette kufunga kwasababu mabeki walishafanya uzembe wakati akikosea Beki kipa hana mamlaka ya kuzuia Si ndiyo?
 
GIF za magoli huwa naweka uzi husika mfano GIF za spurs nimeweka uzi wa spurs angalia humu jukwaan utauona(goli zote sita)

Villa hawana uzi serious humu,goli saba uwiii mb zangu zitaisha.
Unahekima sana na nakushukuru umeniokoa na ban ya kwanza tangu nijiunge
 
Mpaka wanalenga goli wanatokea wapi?
 
Tatizo siyo la kipa, narudia tena kusema kwamba tatizo ni la timu.

Timu inayogombea makombe kipa wake namba 2 hawezi kuwa kipa aliyeachwa na Westham.
Kuna watu wanakomaa kipa bila kulaumu walio muweka.
Kipa aokoe mpaka diflekshen
wanapitwa wote anabakia na mshambuliaji anatakiwa aokoe

Goli saba zote ni kipa
 
Mpaka wanalenga goli wanatokea wapi?
Hahahahahahahahah Wametokea vipi??? Kwani yeye pale Golini anawekwa afanye nini Kama mabeki wamefanya makosa kwahiyo yeye atakiwi kuzuia,Ni mara ngapi Allison huwa anaibeba timu kwani mabeki huwa hawapo ni kwa sababu ni majukumu yake.
 
Wanakuambia kila ikipigwa imooo bila kuangalia inapigwa mazingila gani?

Gomez anaenda kaba ndani ya box yani hamna mwenzie alikaribu kusaidia akifinywa mtu anakua free kuchagua apige wapi liwe goli
 
Liverl !!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
*Ukiwa Huna Pesa Hasira Zinakujaga Zenyewe! Nimewakuta Watoto Wa Watu Wanacheza Cheza Njiani Nikatamani Niwakate Makofi Halafu Nikimbie![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*
 
Kuna watu wanakomaa kipa bila kulaumu walio muweka.
Kipa aokoe mpaka diflekshen
wanapitwa wote anabakia na mshambuliaji anatakiwa aokoe

Goli saba zote ni kipa

Kipa kwangu siyo tatizo sana, ila team yenyewe tu imeshafikia ceiling, ni muda wa kuanza kuwa tunafungwa fungwa mpaka akili itakapotukaa sawa.

Tutakuja kugundua tatizo baadae.

Mfano, tunasubiri nani atuambie kwamba Firmino siyo yule tena? Jana kama mapema sana angefunga chances zake, tungeweza kucontrol ile game.

Tulizungumza kuhusu kusajili beki wa kati.

Kiungo tumesajili ila ndo zile cheap options na injury prone.

Natamani kuona Jota anacheza namba ya Bobby hivi karibuni.
 
Firmino kweli ka flop sana. Anaitaj ale bench labda inaweza msaidia kurudi kwenye form
 
I can't believe! Pepoz doing everything to protect Adrian, for what reason?
Jamaa ametuchomesha! Period.
Sasa unamlaumu vipi hali ya kua unajua alipotoka kwa nini usimlaumu alie mpanga?

Katika ubovu wake huo kuna mipira mitatu kaokoa kama tim ingekua imara yeye angekua sehem ya uimara pia

Timu zima jana mbovu

Wachezaji weshachoka tuna waganda tu bila kuwachanya na chipukizi

Kama ilivo kua kwa Watford tu
 
Upo makini mkuu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Acha siasa taja direct ni goli lipi Adrian angezuia ukiacha goli la kwanza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…