Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwenye Game yetu ya kwanza Niliwadharau Leeds United nikiwaona Amateur wa EPL.

Nikahisi Games zetu ngumu zitakuwa only ni v/s Chelsea and Arsenal, kumbe haikuwa hivyo. Leeds tayari anashinda mchezo wake wa pili mfululizo tena leo alikuwa Away.

Hivyo inanipasa kusema kuwa kumbe Fixtures yetu ya September ilikuwa ni Ngumu kwa mechi zetu zote 3 kiliko Fixture ya Timu yoyote ile ya EPL.
 
Citizen Anakufa huko yaani Citizen mpira wanaocheza wanaonekana wamechoka kuliko hata sisi ahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app

Guardiola ni Chequebook Manager! Sasa Tajiri wake alipoona FSG hawavamii Soko kumwaga Mamilioni kila Msimu lakini Klopp anashinda Makombe, akaona nayeye kwa Man city Guardiola ataweza, Hivyo kuanzia Msimu uliopita na Msimu huu kaamua kupunguza Budget ya Usajili akiamini bila ya £300M alizozowea kumwagia Guardiola kila Msimu ataweza kufanikiwa! Ona sasa 😂😂

Backbone ya Mafanikio ya Man City ilikuwa ni Watu hawa Wanne:-

1) Kompany
2) Fernandinho
3) KDB
4) Aguero

Sasa kabakia KDB peke yake ndiye mwenye uhai, sasa wale kina Rodri na Foden ndiyo ashinde EPL? 😁 Wana tofauti gani na kina Joginho na Kovacic? 😂
 
Guardiola ni Chequebook Manager! Sasa Tajiri wake alipoona FSG hawavamii Soko kumwaga Mamilioni kila Msimu lakini Klopp anashinda Makombe, akaona nayeye kwa Man city Guardiola ataweza, Hivyo kuanzia Msimu uliopita na Msimu huu kaamua kupunguza Budget ya Usajili akiamini bila ya £300M alizozowea kumwagia Guardiola kila Msimu ataweza kufanikiwa! Ona sasa

Backbone ya Mafanikio ya Man City ilikuwa ni Watu hawa Wanne:-

1) Kompany
2) Fernandinho
3) KDB
4) Aguero

Sasa kabakia KDB peke yake ndiye mwenye uhai, sasa wale kina Rodri na Foden ndiyo ashinde EPL? Wana tofauti gani na kina Joginho na Kovacic?
Pep katumia zaidi ya 300 kwa mabeki tu lakini bado anasuasua kila akishambuliwa
 
Liverpool HALISI,kesho tuwepo kuishangilia team yetu
Tuache Liverpool-Pep wakiugulia kipigo cha 5 kwao
Liverpool HALISI no matter what tuwe nyuma ya team yetu
 
Mkuu zile bwebwe zako zilituaminisha kwa usajili huu utakua kila gemu unashinda ili hatimae uwe bingwa 2020 -2021...

Kwa hali mnayokwenda nayo hata nafasi ya 4 mtaisaka kweli kweli...

Leeds sio Westbrom ndugu..

Subiri mkutane utawaelewa vyema..

YNWA
Unaona man city kafa leo utasema nayo siyo timu, Kuna wakati unazidiwa tu. Tatizo hamkubali kuwa vs Leeds mlizidiwa kama siyo zile two penalties tungeandika mengine.
Kuhusu Westbrom yale magoli ni makosa ya mchezaji binafsi hakuna ufundi wowote hata wewe unafunga tu.
#CFC 💙💙💙
 
LIVERPOOL BINGWA MSIMU HUU! PERIOD.
Pep leo kaonyeshwa mazima kwa nini EPL ni ligi bora kabisa..

Kapigwa nyumbani kwake bila ubishi..

Next game EPL anakutana na Leeds lol patakua hapatoshi..

Kesho Anfield tupate hizo pointi 9 tuzidi kusonga mbele na tumalize Septemba bila kupoteza pointi....

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom