dong yi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 5,956
- 8,344
Shaqir, Origi naona hawapo hata benchi,,,,
Shaqir, Origi naona hawapo hata benchi,,,,
Shaqir, Origi naona hawapo hata benchi,,,,


Download application | J FOOTBALL & MOVIE TVSTatizo huchelewi kuwageukaLeo arsenal anawanyoosha hapo hapo anfield
Lol Vs Atalanta will be full cracker...
kamweka pembeni Sep VHuyu dogo anayepatna na van dyk naona anawin every header yuko pouwa.
Yunwa hivyo hivyoHahaha amekosaaa.
Go go YNWA![]()
Asante kaka huu ndio uungwana. ..... Asanteni kwa kushiriki.DullyJr, Aaron Arsenal na Pweza Boy hongereni sana kwa ushindi..
YNWA
Umeanza kuishabikia Liver tokea lini?..Eti jogoo amefanywa kitoweo, kachinjwa kapikwa mchemsho safiii kabisa. Alisikia shabiki wa asernane akisema
Anyway ndiyo mpira ulivyo, ni either u'win, draw or loss. Mashabiki wa Liverpool tulale kwa amani, EPL bado ipo....