Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nilipamiss sana humu baada ya wiki mbili za kuwa BANNED.
Naona tuna na shabiki mpya Depal karibu sana.
Jota
Thiago
Henderson majeruhi
Chelsea kupigwa
Arsenal kupigwa
Raha sana kwangu nilimiss vitu vingi sana humu
EPL inarudi nyumbani.
 
Naona tuna na shabiki mpya @Depal karibu sana.
Pole kwa Ban.

Asante kwa ukaribisho ila me sio shabiki mpya wa Liverpool. Niko muda tu ila sikuwa niki'comment then huu msimu najiona kuwa addicted na mpira that's why na'appear kwa sana.

Niko hapa ❤, niko na kule The Blues 💙
 
Kuna uwezekano kabla ya dirisha kufungwo wachezaji wafuatao wakaodoka mazima ama kwa mkopo kwa vile mechi zinapungua kwetu tumebakisha FA, UCL na EPL..

> Rhian Brwester
> Grujic
> Shaqir
> Wilson
> Van den Berg
> Yasser
> Woodburn

YNWA
Grujic ni bonge la midfielder, haitokuwa wazo zuri kumtoa kwa mkopo ama kumuuza. Namuona kama ni replacement nzuri ya Wijnaldum.
 
Arsenal Tuna hati miliki ya FA , kwaio tunabeba tena...... pia tunabeba hii carabao.... Ligi tunamuachia Liverpool... Uefa watabeba wababe kama Bayern/Madrid.......

NINYI CHELSEA, MAN CITY NA MAN U MUENDELEE KUJIANDAA NA MSIMU UJAO WA 2021/2022.


#COYG
#COYG
 
tuwaombe Man U (Pundamilia Fc) pamoja na Ng'ombe Fc(Chelshit) waanze tu kujiandaa na msimu ujao wa 2021/2022.... Huu wa 2020/2021 umeshawashinda... Hawana chao.... Waandike barua FA waende Pre season Malaysia huko na Japan wajiandae na msimu ujao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom