Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klopp haya makombe ya carabao na FA anayachukuliaga kama nafasi ya kuwapa minutes wale woote wanaosuguaga benchi na uzoefu kwa madogo
Sasa kama anatoka mapema hivi hizo minutes watakua wamepata za kutosha kweli?
 
Ni mentality ambayo ameamua kuwa nayo kwahiyo Fans wa Liverpool hatutakiwi kuwa na high expectations kwenye haya makombe kila msimu unavyoanza

So hata alivyokua anafika fainali kipindi cha kutransform timu ilikua bahati mbaya?
 
Kipindi kile anafika Fainali Carabao ilikuwa piority kwasababu hakuwa contender kwenye EPL na hata Europa hatukuwepo
So hata alivyokua anafika fainali kipindi cha kutransform timu ilikua bahati mbaya?
 
Hilo alina ubishi kupitia vikosi anavyopanga kwenye hizi cups. Walio serious na hizi cups kama city unaonaga mwenyewe vikosi vyao
Kwahiyo kuanzia mwaka juzi ni mwendo wa ligi au uefa?
 
Klopp anahofia injuries kwenye first eleven yake. Ndoo maana hizi cups anaweka fringe players
Amefika fainali ngapi?

Note: Kipindi cha kutransform timu, timu iko transformed tayari, hivyo makombe hayo anawaachia waliko kwenye transformation.

Binafsi hii philosophy yake siikubali, I wish tungeweka concentration kote.
 
Adjustments.jpg
 
Nafikiri fainali 3 au zaidi sina kumbukumbu nzuri. Kuna member anasema anahofia injuries ndiyo maana huko anachezesha majokeri. Timu yenye squad depth yenye quality players ina uwezo wa kucontend katika kila tournament. Ukiwa huna squad depth inabidi uangalie priority.
 
Klopp msimu wake wa kwanza alioingia October 2015/16 ndo alifika fainali ya Carling (Carabao siku hizi) na Europa. Alimaliza wa 8 kwenye ligi.

Baada ya msimu kuisha, hajawahi tena kufika fainali ya FA, Carling/Carabao.

Nadhani siyo priority yake kabisa haya makombe, ndiyo maana anaweza kuchezesha kikosi kizima cha under 23 au reserve.

Liverpool haina bench strong kwa mtazamo wangu, labda sasa hivi baada ya Thiago na Jota kuja unaweza kusema walau sub ikifanyika inaweza kuleta mabadiliko, hivyo kocha ana prefer kuweka concentration kwenye PL na UEFA.
 
Bench strong unamaanisha benchi la ufundi? City kikosi inachokichezesha carabao ni kikosi ambacho kinaweza kuwashiana moto na nusu na robo ya timu za ligi. City ataonekana yupo serious na carabao but hicho ndiyo kikosi chake alichonacho.
 
Namanisha benchi la wachezaji wazuri, City ana wachezaji walioko benchi ambao kwa timu zetu ni regular starters.

Ndiyo maana anaweza kupambana kote na akatoboa.

Lakini hii pia inategemea na mentality ya kocha husika.

Pep kila mechi anacheza kama fainali, hata akiwa amekufunga goli 5 bado ataendelea kukushambulia mpaka dakika ya mwisho, Klopp timu ikishatangulia 2 bila kwake inatosha, anaanza kuwaingiza kina Jones na Milner.

Mentality ya Pep ya kupambana kila mechi bila kujali ni kombe gani ndiyo inampa nafasi ya kushinda sana Carling na FA. Plus kikosi kipana.
 
Umeaandika pumba kabisa ufute
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom