Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Final ipi unayosemea ?
Hatujawahi kucheza final na nyie.
Hivyo vikombe vya mtaani visivyo hata na mkono ndo unasema final?
Wenzio pale tunakuwaga mazoezini.

Kwanza sisi tuna UEFA kibao nyie mna nini?
Eti carabao..! Hahahah
Wewe jamaa na yule mwingine mnaonekana malimbukeni sana hamjazoea hivi vitu,mtakuwa ni mamluki mliohamia Liverpool,Big up Malafyale halisi tunaiona sasa
 
Pole kwa Ban.

Asante kwa ukaribisho ila me sio shabiki mpya wa Liverpool. Niko muda tu ila sikuwa niki'comment then huu msimu najiona kuwa addicted na mpira that's why na'appear kwa sana.

Niko hapa ❤, niko na kule The Blues 💙
 
Game ya Jana sikuangalia kwa makusudi kwasababu niliamini tutatolewa Carabao kwasababu Klopp havichukulii serious hivi vikombe vya Mickey Mouse Cups.

Hivyo tukaze tu kwenye EPL na UCL.

Atalanta na Ajax si wa kubeza
Mkuu kwa mpira tulocheza jana UEFA tutapigwa pale. Hata hatua ya makundi sioni kama tunavuka.
 
Samahani wewe ni KE au ME? (Lengo ni kujua Msamiati wa Kutumia wakati wa kukuquote kwa mfano Bro/Sister/Mkuu/Dada/Brother/Wee Jamaa/Kaka/Kijana n.k.

Pia nataka kujua wewe ni Mshabiki wa Timu gani Coz Mimi Nina kauli natumia hapa JF.

Kuna zile kauli za Kistaarabu natumia kwa Washabiki wenzangu tu wa Liverpool hata kama tumetofautiana.
Na kuna kauli zisizo za kistaarabu huwa natumia kwa baadhi ya Washabiki wasiokuwa wa Liverpool.

Asante.
Huyo anshabikia timu mbili
Liver na chelsea,
Mvumiliane jamani
 
Final ipi unayosemea ?
Hatujawahi kucheza final na nyie.
Hivyo vikombe vya mtaani visivyo hata na mkono ndo unasema final?
Wenzio pale tunakuwaga mazoezini.

Kwanza sisi tuna UEFA kibao nyie mna nini?
Eti carabao..! Hahahah
Hahaha😂😂😂😂😂
 
Kuna dogo wa liver nimemuona jana, yaani akishika mpira mguuni, kuuchukua inabidi uite polisi.
Xhaka kuna mida alikuwa kaachwa hatua chache kwa kuogopa pressing za haraka, ikabidi amshike jezi, bukta na shingo, aibu nimeona mimi.
Anaitwa nani huyo dogo! Ni mrefu hivi, mi sijamshika jina.
Jambo lingine, arteta yupo tofauti na makocha wenzake wa timu kubwa, vikombe vya mchangani anavikamia sana, ndiyo anapotegemea kujijengea cv yake.
Arsenal wasipojiangalia, wamepata msanii mwingine mara tatu ya wenger, kwa hiyo makombe ya maana arsenal wasahau kabisa.
Mshabiki asiyejua majina ya wachezaji wake ni
Alafu umetoa povu kama lote

Mkuu, Relax
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom