Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jamaaa hutaki masiala kabsaa na timu yako nakukubali sana yani upo siriasi

Sijajua ubora wa timu wayoisemea Uko wapi? Timu alizocheza nazo kwenye ligi ,sio kipimo.

Hao leicester wameshinda kama Everton tu na wanamagoli mengi hatari na kamfunga man city etihad,lakini mnasema Everton wako vizuri,sasa sijajua mmetumia kigezo gani kuonekana yeye ni bora zaidi ya hao waliomzidi.
 
Hapa itakua kigezo ni Aseloti tu ndo anae tutia khofu. Kwa upande wangu naona team zote zipo vizuri sanaaa kasoro kama nne tu ndo unaeza zitabilia.

Nimeona mechi zote yani zoteee zilizo chezwa team zipo vyema
 
Sijajua ubora wa timu wayoisemea Uko wapi? Timu alizocheza nazo kwenye ligi ,sio kipimo.

Hao leicester wameshinda kama Everton tu na wanamagoli mengi hatari na kamfunga man city etihad,lakini mnasema Everton wako vizuri,sasa sijajua mmetumia kigezo gani kuonekana yeye ni bora zaidi ya hao waliomzidi.
Kwasababu ni rival wenu.
 
Adjustments.jpg
 
IMG_5952.jpg

Wazee napata wapi hii jersey mpaka kwenye store ya liver wameandika zimeisha ni away 2015/16
 
Timu gani ngumu wameifunga? Hizo story kama za Arsenal walijiona wako fire kumbe kulingana na timu walizokutana nazo.
.Mkuu angalia wanavocheza siyo swala la walio cheza nao Kuna msimu walishiriki kutunyima ubingwa bro
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom