Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,524
- 203,265
Yes.Samahani wewe ni KE au
Yes.Samahani wewe ni KE au
Game ya Jana sikuangalia kwa makusudi kwasababu niliamini tutatolewa Carabao kwasababu Klopp havichukulii serious hivi vikombe vya Mickey Mouse Cups.
Hivyo tukaze tu kwenye EPL na UCL.
Atalanta na Ajax si wa kubeza

Gini akiwa na miaka 8 alicheza center half na akiwa na miaka 11 alicheza beki wa kulia..Akiondoka Gini tutakuwa kwenye Serious problem! You know why?
Gini ndiye Midfielder pekee ambaye ni injury free.
Hawa kina Keita, Hendo, Thiago na OX ni kutembea na Spana mkononi tu.
Hata mechi ya kwanza ilitakiwa atolewe haonyeshi ari yoyote ni mtu aliejikatia tamaa hakutakiwa kupangwa hajitumi.Origi alitaka kujiona Ronaldo kumbe ni Mapung'o! Unarudije hatua tatu nyuma kupiga penalty wakati ni tia maji tia maji
Mkuu acha kumdharau kocha wetu, Arteta kapita mikono ya Pep, ana mentality yakutodharau kombe lolote , alishalisema hili , kuwa tunaliita carabao lakini mwisho wa siku ni kombeKuna dogo wa liver nimemuona jana, yaani akishika mpira mguuni, kuuchukua inabidi uite polisi.
Xhaka kuna mida alikuwa kaachwa hatua chache kwa kuogopa pressing za haraka, ikabidi amshike jezi, bukta na shingo, aibu nimeona mimi.
Anaitwa nani huyo dogo! Ni mrefu hivi, mi sijamshika jina.
Jambo lingine, arteta yupo tofauti na makocha wenzake wa timu kubwa, vikombe vya mchangani anavikamia sana, ndiyo anapotegemea kujijengea cv yake.
Arsenal wasipojiangalia, wamepata msanii mwingine mara tatu ya wenger, kwa hiyo makombe ya maana arsenal wasahau kabisa.
Klopp bhana sijui hivi vikombe anavichukulia aje aisee...Mimi nimeumizwa na kile kikosi alichopanga, nitakuwa siangalii game za Liverpool za FA na Carabao kwa mtindo huu.
Kafanya sub za kibwege sana nimeumia sana yule limbukeni kumcheka kipa wetuIfike mahali klopp awe siriaz na hivi vikombe vidogo naona anavichukulia powa
Yaani Grujic abakie auzwe Gini 🙄🙄🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔.....Grujic habari nyingine. Asiuzwe huyu jamaa. He still young abakishwe then uza Gini
Yaan klop kwa dharau kabisa akaamua na van dijk,salah na jota awatoe hiyo ni kuonyesha hichi kikombe sikihitajKlopp bhana sijui hivi vikombe anavichukulia aje aisee...
Kwa ukubwa wa kikosi kilichopo hii mechi ilikua ya kushinda ili vijana wazidi kupata dakika na kupunguza maneno kwa wale ambao watakua hawapati nafasi kwenye UCL na EPL...
YNWA
Klopp anashambulia EPL hivi vi mickey mouse in King Ngwaba keyboard ni by the way 🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓..Yaan klop kwa dharau kabisa akaamua na van dijk,salah na jota awatoe hiyo ni kuonyesha hichi kikombe sikihitaj
Glujic ajabu hatakiwi na Gini na milner Hendo wanazeeka dah.Kuna dogo wa liver nimemuona jana, yaani akishika mpira mguuni, kuuchukua inabidi uite polisi.
Xhaka kuna mida alikuwa kaachwa hatua chache kwa kuogopa pressing za haraka, ikabidi amshike jezi, bukta na shingo, aibu nimeona mimi.
Anaitwa nani huyo dogo! Ni mrefu hivi, mi sijamshika jina.
Jambo lingine, arteta yupo tofauti na makocha wenzake wa timu kubwa, vikombe vya mchangani anavikamia sana, ndiyo anapotegemea kujijengea cv yake.
Arsenal wasipojiangalia, wamepata msanii mwingine mara tatu ya wenger, kwa hiyo makombe ya maana arsenal wasahau kabisa.
Kwa jana angempanga Shaqili badala ya Wilson na asingemtoa Jota tungeshindaKlopp bhana sijui hivi vikombe anavichukulia aje aisee...
Kwa ukubwa wa kikosi kilichopo hii mechi ilikua ya kushinda ili vijana wazidi kupata dakika na kupunguza maneno kwa wale ambao watakua hawapati nafasi kwenye UCL na EPL...
YNWA
Upo sawa ila Gini yupo mwisho Glujic yupo mwanzo ni bora hata wabakie wote awe anapewa dakika 30 za GiniYaani Grujic abakie auzwe Gini.....
Klopp hapangiwi hahaha..
Gini kuuzwa kwake labda akomae kwenda Barcelona kupata challenge mpya na ishu za mkataba mrefu na mkwaja pia..
Grujic sio levo za Gini ndugu..
Ni raw talent na Gini ni proven talent..
YNWA
Alisema "Nitachukulia serious kila kikombeKuna dogo wa liver nimemuona jana, yaani akishika mpira mguuni, kuuchukua inabidi uite polisi.
Xhaka kuna mida alikuwa kaachwa hatua chache kwa kuogopa pressing za haraka, ikabidi amshike jezi, bukta na shingo, aibu nimeona mimi.
Anaitwa nani huyo dogo! Ni mrefu hivi, mi sijamshika jina.
Jambo lingine, arteta yupo tofauti na makocha wenzake wa timu kubwa, vikombe vya mchangani anavikamia sana, ndiyo anapotegemea kujijengea cv yake.
Arsenal wasipojiangalia, wamepata msanii mwingine mara tatu ya wenger, kwa hiyo makombe ya maana arsenal wasahau kabisa.
Unateseka?Sisi kikombe chochote tunakifurahia hadi Ngao tunakusanyaKuna dogo wa liver nimemuona jana, yaani akishika mpira mguuni, kuuchukua inabidi uite polisi.
Xhaka kuna mida alikuwa kaachwa hatua chache kwa kuogopa pressing za haraka, ikabidi amshike jezi, bukta na shingo, aibu nimeona mimi.
Anaitwa nani huyo dogo! Ni mrefu hivi, mi sijamshika jina.
Jambo lingine, arteta yupo tofauti na makocha wenzake wa timu kubwa, vikombe vya mchangani anavikamia sana, ndiyo anapotegemea kujijengea cv yake.
Arsenal wasipojiangalia, wamepata msanii mwingine mara tatu ya wenger, kwa hiyo makombe ya maana arsenal wasahau kabisa.

Ukiachana na hizi mechi mbili, kuna msimu Grujic hajawahi kuwa bora? Yule dogo ni kama Klopp hamtaki tu ila sio kwamba hawezi compete number na mtu kama Gini au HendoHata mechi ya kwanza ilitakiwa atolewe haonyeshi ari yoyote ni mtu aliejikatia tamaa hakutakiwa kupangwa hajitumi.
Sijui kwa nini Glujic hakubaliki kiwango alicho unesha hizi mechi mbili alistahili kubaki bora andoke Gini
Kazaneni na hizo mechi za makorongoni ndo mnawezaMmupige nani ndani nje kama kwenu tu mmeshindwa kutufunga mfululizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali watu wanajiuliza lini klopp atayachukulia serious haya makombe kama FA na carabao
Final ipi unayosemea ?Unatafunwa tena si mara moja unatuita wachovu kwenye ligi unapigwa hadi finals lini tumekuita wachovu.
Sent using Jamii Forums mobile app