Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mimi EPL trophy tu inanitosha, nasubiri mechi 5 zilizosalia basi.
Mimi binafsi msimu huu UEFA ni add on kwangu.

Niko so excited na records tunazoweka EPL, especially if we manage to break ile 49 unbeaten run, tukimaliza ligi bila kufungwa nitakuwa kichaa nadhani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makocha nao ni binadam hakosi mapungufu kuna watu hawataki wakosolewe.

Tumebeba Minamino anasubiliwa afiti kwenye team tumemuacha Haland ambae ni tishio ulaya.

Sasa hivi tunatajiwa Timo ambae kwa mechi ya jana namuona ni mchezaji anaejitegega vizuri golini na kubebwa na mfumo nafasi anazo pata anafunga chache wener hamfikii Salah hata punje kwa hili hafai kuja.

Kwa nilivyo muona Sancho ni bunge lamchezaji mwenye kipaji huyu kikosi cha kwanza moja kwa moja kama mshabiki ukinambia nichague Sancho na Salah nachagua Sancho kwa sasa.

Hahahaha Salah huyu huyu wa kwetu au mwingine..

Mkuu Sancho hizo level bado hajafika..

Timo pia usiangalie tu mechi ya jana ukamdiss...

YNWA
 
Hahahaha Salah huyu huyu wa kwetu au mwingine..

Mkuu Sancho hizo level bado hajafika..

Timo pia usiangalie tu mechi ya jana ukamdiss...

YNWA
Mimi naamini Sancho akisimama nafasi ya Salah Liverpool anapata matokeo mazuri zaidi ya anayo pata Salah.
Ukimuweka Salah kule angepata pungufu ya alichopata Sancho pale kwa mtazamo wangu.

Unaonaje kama tungekua na Haland magoli ya yangeongezeka au la

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa aisee there is no proper rhythm, no critical intensity, TAA crosses a bit off probably na hali ya hewa inachangia...

But we are Liverpool we make the impossible to be possible..

Klopp have plenty of time to sit down with the data guys, the coaching department, the players and analyse the situation we have here and get answers... That the Klopp I know...

YNWA

Yaani ukiwaangalia after game ya Atletico unawaona kabisa hata wao hawakuridhika kabisa, ukiachana na mpira kuwa ni game of mistakes bado sijaona kama Atletico ni tishio

Ngoja tuone hii game ya ligi jumatatu hali za wachezaji wetu zitakuaje
 
Makocha nao ni binadam hakosi mapungufu kuna watu hawataki wakosolewe.

Tumebeba Minamino anasubiliwa afiti kwenye team tumemuacha Haland ambae ni tishio ulaya.

Sasa hivi tunatajiwa Timo ambae kwa mechi ya jana namuona ni mchezaji anaejitegega vizuri golini na kubebwa na mfumo nafasi anazo pata anafunga chache wener hamfikii Salah hata punje kwa hili hafai kuja.

Kwa nilivyo muona Sancho ni bunge lamchezaji mwenye kipaji huyu kikosi cha kwanza moja kwa moja kama mshabiki ukinambia nichague Sancho na Salah nachagua Sancho kwa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kiongozi nikuulize kaswali flani hivi! Maelezo yako ya performance ya Timo Werner yanatokana na kumuona kwenye game ya Jana tu?
Coz hata Messi kama kama utamfanyia tathmini kwenye game ya Anfield tuliyowalamba Barca goli 4 unaweza sema ni Molinga aliyekosa Kimo. Lakini uhalisia ni kwamba hata Shetani wanamuogopa awapo uwanjani.
 
Aani watu wana mu under rate salah now

Like serious

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wakati wa kuipa Liverpool heshima nyingi wanazostahiki kwa uwezo wao wa msimu huu, huku tukisubiri kuona rekodi zinazovunjwa na kuweka rekodi zao kila wikiendi.

Wana Liverpool tanzania nzima tumeamua kufanya sherehe shangwe na nderemo kusherehekea ubingwa huu wa kihistoria hasa pale tutakapo vunja vunja record zote zawapinzani Wetu

Shime wana Liverpool kuazimia kwa pamoja kufanya sherehe hizi kilele chake zitakua sanjari na Siku ya kukabidhiwa kombe LA, EPL

Sherehe hiz kilele chake zitafanyika jijini dar resalam

Wilaya ya kinondoni Kijitonyama kwenye uwanja wa wazi

Sehemu ambayo itapambwa na mabendera na mapicha ya Liverpool pamoja na kuwapandisha stejini wasanii kadha wakadha ambao ni makop wenzetu Tanzania nzima
kula na kunywa kwapamoja

Tukio ambalo litatanguliwa uchangiaji wa damu salama

Kutembelea magereza kwandugu zetu

Kutoa misaada kwa vituo vya watoto mayatima

Kufanya kazi zakijamii nakadhalika

Hakika itakua nisiku ya shamra shamra kwa wana Liverpool wote

Tupo tunapambana kujua na kufanya mikoa yote ya Tanzania

Lengo nikuboresha udugu mshikamano na kuitangaza TANZANIA NA LIVERPOOL KWA UJUMLA

YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Kop ambaye yupo tayari kuunga na Sisi katika kuadhimisha tukio hili la Kihistoria. Anicheki PM ili nimpe link ya group la Whatsapp ili tukashirikieni namna ya kuweza kufanikisha hili tukio.

NB: Week end hii tutaendelea na kikao na vile vile kuna Kop mwenzetu anaanda Proposal ataiwasilisha week end hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom