Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,152
- 10,682
They are sore losers
They are sore losers
We were so flat yesterday.
Ngoja tuone itakuwaje
Nadhani ile 2 weeks break imetuponza, mpaka march 11 tutakuwa tumerudi kwenye ubora wetu
Hujanielewa... I think you rushed into my post.You need to get back to school pal
In football tofauti ya mtazamo is normal, ndio maana every game klopp always say there are some areas of improvement
I tekw every comment here is pure soccer na Ni lazima tutofsutiane, klopp got schooled yesterday for Fielding three less-skilled players - he needed dribblers
Saying that haihusiani na shetani, ushetani Wala mfano wako Koko uliouweka
Stop being judgemental
Hii huiwezi mkuu,pamoja na soka kupoteza uhalisia wake kutoka kwa upumbavu so called VAR plus uporomokaji wa viwango kwa timu nyingi za EPL but kwa hii 49 match ni ngumu kumeza kwako.....Mimi binafsi msimu huu UEFA ni add on kwangu.
Niko so excited na records tunazoweka EPL, especially if we manage to break ile 49 unbeaten run, tukimaliza ligi bila kufungwa nitakuwa kichaa nadhani.
Hahahahahahahahah EPL Timu zimeporomoka kiwango.....Sema ARSENAL ndio imeporomoka kiwango kama Shelfield united iko juu ya Msimamo wa League ahead of Arsenal unasemaje Epl timu zimeshuka kiwango.Hii huiwezi mkuu,pamoja na soka kupoteza uhalisia wake kutoka kwa upumbavu so called VAR plus uporomokaji wa viwango kwa timu nyingi za EPL but kwa hii 49 match ni ngumu kumeza kwako.....
UKIITIMIZA HII MIMI NAJIPIGA BAN HUMU,NIKIJITOKEZA TU MNISHAMBULIE KWA MAWE.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuongea utoporoYou need to get back to school pal
In football tofauti ya mtazamo is normal, ndio maana every game klopp always say there are some areas of improvement
I tekw every comment here is pure soccer na Ni lazima tutofsutiane, klopp got schooled yesterday for Fielding three less-skilled players - he needed dribblers
Saying that haihusiani na shetani, ushetani Wala mfano wako Koko uliouweka
Stop being judgemental
Hili nalo unataka kulibishia mkuu????ila yote sawaHahahahahahahahah EPL Timu zimeporomoka kiwango.....Sema ARSENAL ndio imeporomoka kiwango kama Shelfield united iko juu ya Msimamo wa League ahead of Arsenal unasemaje Epl timu zimeshuka kiwango.
Huyo ndio Diego el chollo Simeon
Hii huiwezi mkuu,pamoja na soka kupoteza uhalisia wake kutoka kwa upumbavu so called VAR plus uporomokaji wa viwango kwa timu nyingi za EPL but kwa hii 49 match ni ngumu kumeza kwako.....
UKIITIMIZA HII MIMI NAJIPIGA BAN HUMU,NIKIJITOKEZA TU MNISHAMBULIE KWA MAWE.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii huiwezi mkuu,pamoja na soka kupoteza uhalisia wake kutoka kwa upumbavu so called VAR plus uporomokaji wa viwango kwa timu nyingi za EPL but kwa hii 49 match ni ngumu kumeza kwako.....
UKIITIMIZA HII MIMI NAJIPIGA BAN HUMU,NIKIJITOKEZA TU MNISHAMBULIE KWA MAWE.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu. hakuna update yoyote ya Le captain fantastic?
Mkuu huyu jamaa yeye anafanyaga mizaha tu ila ukweli anaujua. unapompa fact kama hizi atajifanya kama hajui..Wakati Timu za EPL zina viwango:
- Barcelona anaitandika Arsenal goli 4 huku zikifungwa na Mchezaji mmoja pekee (Messi).
- AC Milan anaitandika Man United goli 3 - 0
- Galatasaray anaitandika Arsenal 3 - 1 Europa League Final
Lakini leo Timu za EPL zimeshuka viwango na ligi yao imekuwa mbovu:
- Liverpool bingwa UCL
- Chelsea bingwa UEL
- Timu za EPL zimekutana Fainali UCL
- Timu za EPL zimekutana Fainali UEL
- Timu zote 4 za EPL zimetinga last 16 UCL & UEL
Ni viwango vipi labda unazungumzia vilivyoshuka?
Au unamaanisha kushuka kiwango kwa Arsenal ndiyo Kunawakilisha Ligi nzima?
Wewe ndio wale wanao amini mtu akiwa kwenye postion fulani hawezi fanya makosa na kwamba yeye ndio kila kitu kila mtu anafanya makosa haijalishi uwe nondo kwenye eneo hilo na klopp kuwa liverpool haimanishi kuwa yeye pekee ndio anauwezo wa kuifundiaha liverpool.sote tunafanya makosa haijalishi kwa kiasi gani tupo vyema katika eneo husika.Kafanye application uchukue timu ww. Maana inaonekana ni mtaalamu Sana