Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wakati Timu za EPL zina viwango:
- Barcelona anaitandika Arsenal goli 4 huku zikifungwa na Mchezaji mmoja pekee (Messi).
- AC Milan anaitandika Man United goli 3 - 0
- Galatasaray anaitandika Arsenal 3 - 1 Europa League Final

Lakini leo Timu za EPL zimeshuka viwango na ligi yao imekuwa mbovu:
- Liverpool bingwa UCL
- Chelsea bingwa UEL
- Timu za EPL zimekutana Fainali UCL
- Timu za EPL zimekutana Fainali UEL
- Timu zote 4 za EPL zimetinga last 16 UCL & UEL

Ni viwango vipi labda unazungumzia vilivyoshuka?
Au unamaanisha kushuka kiwango kwa Arsenal ndiyo Kunawakilisha Ligi nzima?
Kama hili nalo unalibishia basi sawa.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu mgumu aliyebaki ni Man City, na tuko radhi tupaki basi ili hiyo game tushinde au droo.

Maana game ya City inaweza kuwa ya 48 au 49 kutegemeana na màtokeo yetu na Chelsea FA
Nakupa na hii izidi kukupa shauku na ari....
images%20(3).jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani ile 2 weeks break imetuponza, mpaka march 11 tutakuwa tumerudi kwenye ubora wetu
Kabisa aisee there is no proper rhythm, no critical intensity, TAA crosses a bit off probably na hali ya hewa inachangia...

But we are Liverpool we make the impossible to be possible..

Klopp have plenty of time to sit down with the data guys, the coaching department, the players and analyse the situation we have here and get answers... That the Klopp I know...

YNWA
 
Huyo ndio Diego el chollo Simeon

Kwa kudefend tu ,mourinho akasome
Hahaha pale kuna kocha wao wa fitness au conditioning anaitwa Oscar Ortega ndugu yule babu ni habari nyingine..

Kwanza ukisajiliwa lazima akufanyishe zoezi aidha utapike ama uzimie ndio mwende sawa ndugu...

Usione wale jamaa wamewapoteza akina Jafran, Godin, Luis nk pale nyuma na bado wapo compact ni kazi inafanyika aisee si ya kitoto...

Silaha yao kuu wakati wa ku defend ama kushambulia ni cohesion and discipline..

Kashinda 2-0 na Juve akaenda pigwa 3-0 Turin
Atletico OUT
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom