Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,851
- 2,771
Makubwa hayaMimi naamini Sancho akisimama nafasi ya Salah Liverpool anapata matokeo mazuri zaidi ya anayo pata Salah.
Ukimuweka Salah kule angepata pungufu ya alichopata Sancho pale kwa mtazamo wangu.
Unaonaje kama tungekua na Haland magoli ya yangeongezeka au la
Sent using Jamii Forums mobile app
Man we should be appreciating players more what we have now than the future unknowns...Makubwa haya
Salah vs Sancho?
Whos Sancho?Kafanya nn lolote la maana Sancho?
Nadhani sasa utani umefikia pabaya aisee
Salah:
TWICE Golden boots awards
EPL winner
UCL winner
Super cup winner
Club world cup Winner
SANCHO DIDNT WIN NONE
Salah won everything
King katika ubora wakoBasi nakushauri Mfuatilie Timo Werner angalau game 5 mfululizo uone jamaa alivyo very talented.
Yani complete striker ndani ya Bundes Liga nzima anazidiwa only na King of the Kings Sir Lewando.
Yeye kukupa goli 30+ per season ni kitu cha kawaida tu hasa kwa Timu kama Liverpool.
Hata hivyo mimi sipendi kuzungumzia habari za kumueka au kitomueka Mtu Bench coz naamini hata Odoi akiamua kujituma with commitment anaweza kumueka Bench Mane au Aguero.
Mkuu Performance ni journey not a destination! So, kauli za kuwa nani akija Liverpool hawezi kumueka Bench Fulani hazina nafasi katika mpira.
Wakati 2015/16 tunalia na Klopp kuhusu Lovren hapa mpaka Lovren akafikia kujiita "I'm a best CB in the World" nani aliyefikiri Katoto kadogo kamma Gomez katamueka Bench Lovren?
So, Mpira ni safari Kijana! Huyo Timo Werner anaweza kuja Liverpool akashine tukamuona kama ni New version ya Suarez au akaflop tukamuona kama ni New version ya Voronin.
Kwahiyo yote yanaweza kutokea Kuingia FXI au Kuwarm Bench ni 50/50.
Don't say Never bro.
Huyo Firmino anaweza kwenda nje ya Liverpool akaishia kucheza Carabao au Copa Del Ray! Au umemsahau Coutinho?
Ivi hujui kuwa Mane, Salah na Coutinho hapana hata mmoja anayefikia hata nusu ya uwezo wa Coutinho wakati anaondoka Liverpool?
Basi nakushauri Mfuatilie Timo Werner angalau game 5 mfululizo uone jamaa alivyo very talented.

Makubwa haya
Salah vs Sancho?
Whos Sancho?Kafanya nn lolote la maana Sancho?
Nadhani sasa utani umefikia pabaya aisee
Salah:
TWICE Golden boots awards
EPL winner
UCL winner
Super cup winner
Club world cup Winner
SANCHO DIDNT WIN NONE
Salah won everything
Kaa kimya sikua nikibishana na mtu.Makubwa haya
Salah vs Sancho?
Whos Sancho?Kafanya nn lolote la maana Sancho?
Nadhani sasa utani umefikia pabaya aisee
Salah:
TWICE Golden boots awards
EPL winner
UCL winner
Super cup winner
Club world cup Winner
SANCHO DIDNT WIN NONE
Salah won everything
Kaa kimya sikua nikibishana na mtu.
Utani m baya kwani nimekushika matako
Sent using Jamii Forums mobile app

Mabingwa Wa EPL 2019/2020 msiwe na wasiwasi na kuhusu atletico madrid mbona wale walikamia game kule kwao tu kama mwaka jana na juventus wakapigwa nyingi tu kule Turin
Sent using Jamii Forums mobile app
Hendo nilivyo simkubali aisee angepata injury ndefu zaidi ya hiyo
bunge la mchezajiMakocha nao ni binadam hakosi mapungufu kuna watu hawataki wakosolewe.
Tumebeba Minamino anasubiliwa afiti kwenye team tumemuacha Haland ambae ni tishio ulaya.
Sasa hivi tunatajiwa Timo ambae kwa mechi ya jana namuona ni mchezaji anaejitegega vizuri golini na kubebwa na mfumo nafasi anazo pata anafunga chache wener hamfikii Salah hata punje kwa hili hafai kuja.
Kwa nilivyo muona Sancho ni bunge lamchezaji mwenye kipaji huyu kikosi cha kwanza moja kwa moja kama mshabiki ukinambia nichague Sancho na Salah nachagua Sancho kwa sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
haumjui vizuri timo kwa sababu milliner na Henderson wana vipaji kumzidi.Nilikua nawaona ila nilikua siwazingatii ila baada ya kutajwa tajwa humu nikawazingatia hizi mechi za jana na juzi.
Mchezaji akiwa na kipaji hata mpira ukimkataa siku hiyo utajua tu kama huyu kunakitu anakusudia ila kinagoma.
Kwa mimi nilivyo muona ni mtu anaejua mpira unatakaje na kuufanyia kazi ila kipaji hana.
Kwa pale Liver hamuweki benchi yoyote labda kwenye sub ata anaza yeye kabla ya Origi
Sent using Jamii Forums mobile app