Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hebu onyesha sehemu mtu yeyote amesema klopp kaanza kuwa shetani
Mtu akimwita mtu shetani anamaanisha ni shetani kweli? Yawezekana anamaanisha huyo mtu anamuongelea vibaya... Na mimi ndo msingi wa pointi yangu ulipo...kuna watu wamemuongelea vibaya klop na ndo nikasema mara hii keshakuwa shetani kwao... Rudi shule... Yawezekana hukuelewa vzr somo la kiswahili.
 
Tunahitaji natural number 10 kwenye squad yetu this summer hawa akina Keita or OX ni kama tunacheza kamali tu kwenye hiyo position.
Ni kweli mkuu lakini mbona hii kazi Keita anaiweza vizuri mnoo?
Keita ni wa kupewa muda tu wa kucheza, that dude is talented..

Angalia moves zake akiwa anacheza ,pia kwenye ya kuvunja ukuta yeye kwake ni rahisi tu.. Tatizo la Keita injured prone
 
Mtu akimwita mtu shetani anamaanisha ni shetani kweli? Yawezekana anamaanisha huyo mtu anamuongelea vibaya... Na mimi ndo msingi wa pointi yangu ulipo...kuna watu wamemuongelea vibaya klop na ndo nikasema mara hii keshakuwa shetani kwao... Rudi shule... Yawezekana hukuelewa vzr somo la kiswahili.
You need to get back to school pal

In football tofauti ya mtazamo is normal, ndio maana every game klopp always say there are some areas of improvement

I tekw every comment here is pure soccer na Ni lazima tutofsutiane, klopp got schooled yesterday for Fielding three less-skilled players - he needed dribblers

Saying that haihusiani na shetani, ushetani Wala mfano wako Koko uliouweka

Stop being judgemental
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom