Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Goli moja wameanza story ya ooh liverpool team mbovu

Nlchogundua ni kwamba boys wame set standards kubwa sana

Hata mimi nakumbuka wayback secondary kila mtihani nlkua nachapa nyumbu hata harufu hunisogelei sio kiswahili sio hesabu sio fizikia wala kemia utafurahi tu na roho yako

Mock the same kimbiza nyumbu mkoa mzima

Sasa kukawa na kitest sijui wanaviita vimitihani vya kujiandaa na necta bwana we si nkazngua nkawa mtu wa sita huko

Dah waliongea hadi wale nliokuwa nawafundisha wakaanza kunisema na sikuwahi kujisifu kwa mtu kwmba sijui nafaulu wala nini

That is what kina happen kwetu now

Tuishi nao tuwazoee watakuja sana humu ingawa sisi nyuzi zao hatuendi

Sijagusa mimi nyuzi ya chelsea kuwaponda ila cha ajabu kuna shabiki wa chelsea nmemwona humu anaiponda liva na ana bayern next week
Mshabiki wa chelsea na yeye anakuja humu kubishana na wana liva

Team ipo nafasi ya kumi

Utoto ujue

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usipanic....hii ndio maana ya kuwepo haya majukwaa,na jukwaa hili sio la kwako peke yako,kama wewe huendi kule kwa nyumbu kaa ujue kina Penison na King Ngwaba wanaendaga kuwatia njaa...so waache nao wapumue ...

Wewe kaa utulie.
Enjoy soccer.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni story tu kama zilivyo story zingine tu,hakuna evidence yeyote ya ulichokiandika hapa,mtu yeyote anaweza kujisifia kama ulivyojisifia wewe,acha utoto ongelea soka hasa game la jana,mambo ya Shule peleka huko huko shuleni kwenu.
Aiseeeh kwahiyo kiboko kimoja tu mtu anasema vyote????kweli huyu sio sugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Goli moja wameanza story ya ooh liverpool team mbovu

Nlchogundua ni kwamba boys wame set standards kubwa sana

Hata mimi nakumbuka wayback secondary kila mtihani nlkua nachapa nyumbu hata harufu hunisogelei sio kiswahili sio hesabu sio fizikia wala kemia utafurahi tu na roho yako

Mock the same kimbiza nyumbu mkoa mzima

Sasa kukawa na kitest sijui wanaviita vimitihani vya kujiandaa na necta bwana we si nkazngua nkawa mtu wa sita huko

Dah waliongea hadi wale nliokuwa nawafundisha wakaanza kunisema na sikuwahi kujisifu kwa mtu kwmba sijui nafaulu wala nini

That is what kina happen kwetu now

Tuishi nao tuwazoee watakuja sana humu ingawa sisi nyuzi zao hatuendi

Sijagusa mimi nyuzi ya chelsea kuwaponda ila cha ajabu kuna shabiki wa chelsea nmemwona humu anaiponda liva na ana bayern next week
Mshabiki wa chelsea na yeye anakuja humu kubishana na wana liva

Team ipo nafasi ya kumi

Utoto ujue

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu kufunga n kufungwa ni sehemu ya soccer. Mbona unandika kwa hisia. Kuna mtu kakukataza kutembelea nyuzi zingine?

Tulia na goli moja jipange kupindua matokeo tarehe 11 march

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nilichoona ni kuwa team inahitaji midfielder runners kama keita ambaye atakuwa na kazi ya kufanya penetrate mipira na kuvunja ngome ya upinzani hasa team kama atletico. Keira mechi kama zile inabidi apewe muda mrefu wa kucheza..

Ni maoni yangu
Tunahitaji natural number 10 kwenye squad yetu this summer hawa akina Keita or OX ni kama tunacheza kamali tu kwenye hiyo position.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom