Ni bora ulivyoivunja likizo yakoMimi binafsi Suarez kwangu ni namba moja kwa sababu yeye alikuwa ndiyo system, it is because of him we had that Sturridge, and Sterling by then.
Unaweza ukaona production ya timu baada ya Suarez kuondoka, sina uhakika kama Salah akiondoka leo tutaikosa top 4, sijui. Lakini impact ya Suarez ilikuwa kubwa sana ukilinganisha na kikosi.
Suarez could have done that on consistent basis, sema alikuwa yuko peke yake, na sometimes huwa najiuliza kama Suarez nikimweka kwenye kile kikosi cha Torres ambacho Gerrard was young and at peak, ingekuwaje?
Na kama tungekuwa na decent defense, Suarez angetupa EPL. We were so poor kwenye defense, hata mid ilikuwa mbovu.
Salah is super good, lakini binafsi namwona pia amekutana na bahati ya kuwepo Klopp, kuwepo na timu nzuri.
Laporte injured bado hana match fitness as he used... Probably he will play vs Hammers..If we win matches zetu zote 6 zinazokuja (including Everton)..
And, if City wataendelea kudrop more points, then tukifunga Crystal palace at home, Guard of honor itakuwa ni against CIty at Etihad, as tutakuwa tume-confirm the league against Palace.
But hii yote inategemea na City kushinda/poteza games.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Dean Henderson ni kipa Wa Manchester United yupo hapo Blades kwa Mkopo...
Naona atmosphere ya humu ipo shwari kabisa....natamani nitulie nile upepo hapa dah.....
SG hapana aisee abakie alipo au kwingine his managerial credentials have to match this Liverpool job...FSG gave SG a peanut new offer..
Akaona wame-dharau his legacy. ndiyo maana akaondoka kwa hasira.
But, its funny because they'll need him in 2024 to save their tight arses again, watafanya hivyo because of SG's big name at LFC. But in reality watakuwa wanasave money as SG will be a cheap option and easy to fool the fans.
But, i dont want SG to be our manager. because itakuwa so hard kumpelekea maneno ya moto moto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hey mate pole about your Dad may he rest in peace...What a sepcial feeling
Daaaah
Sir wazee tulioanza zamani it's like a dream come true
I wish my father was alive to see this
Hahahahaaaaaa73 - Liverpool
72 - Y
71 - O
70 - U
69 - W
68 - I
67 - L
66 - L
65 - N
64 - E
63 - V
62 - E
61 - R
60 - W
59 - A
58 - L
57 - K
56 - A
55 - L
54 - O
53 - N
52 - E
51 - Man City.
.
.Klopp kawaonesha watu kuwa timu sio ukubwa kikosiWapi wazee wa man city ana kikosi kipana .
man city ana vikosi vitatu ,wazee wa Liverpool hawana world class player.
ikifika December na January Liverpool itaanza kupoteza point.wapi wazee wa ligi bado sana hii maana ndio mwanzo mwezi wa tisa.
Wapi wachambuzi uchwara Liverpool msimu wa 2018/2019 Liverpool ikikosa ubingwa aichukui tena ubingwa.
Sent from my iPhone using JamiiForums