Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

It will be epic, hahahahahahaha!


Man, we have come a long way.

Sent using Jamii Forums mobile app
Xmas comes early 2020 lol...

What's a feat we have our eyes on..

That particular day will be one of the toughest Pep has had as top Manager...

Seeing Klopp get a UCL trophy was a bitter pill to swallow haha and now the EPL jamani its can't get better than this guys...

Thank you Klopp opponents now just have no way than admire and respect us hakuna namna... Hate us like us we conquerors already...

Can picture Sterling face will be stone haha... Thought he was to win UCL and serial EPL oftenly lol now we have come to take back what's ours...

What's a fairly tale...

YNWA

YNWA
 
IMG_7621.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Did you even watch a prime SG?


Unajua kuwa SG ni typical Klopp Midfielder, not just Klopp, he was every manager's dream MF.


Mnamuangalia SG kwenye youtube afu manakuja na hizi takes za ajabu.




Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna aina za mipira na zinavyochezwa
Ndio maana Zlatan Ibrahimovic na ukali na magoli yake yote katoka inter kaenda Barca kaishia kuwa wa ajabu uko

Coutinho katoka liver motomoto kaenda barca kachemka,

Ila kuna team zinazotegemea middle sana , nyingine mabeki sana, nyingine hasa za pressing zinategemea strickers 3 sanasana na fullbacks na midfielders hasahasa wanafanya kaz za kusupport mfumo na kuzuia endapo shambulizi litatokea
Ndo maana humu watu mnashangaa Wijnaldum kutokufunga sana akiwa liver na kufunga sana akiwa Netherlands
Mfumo huu Rodgers aliutumia ndo maana Gerard alirudi na kuonekana yuko deep, uku suarez sterling sturridge na kwa mbali coutinho walionekana kusumbua gwaride

Ndo maana ata Pep hajawah kuwa na midfielder ambae ni stricking force na mamidfielder wake wote walikuwa ni system players, ata Toni Kroos mwenyewe angekuwa passer au angeuzwa kama angekutwa na Pep, ila alibahatika kutimka kabla hajakutwa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yani huyo Mtu nashindwa kumuelewa mpaka nabaki nanyamaza.

Sometime huwa ninajiuliza hivi aliwahi kumshuhudia SG akicheza mpira au anamzungumza kupitia ile Clip aliyoteleza mbele ya Demba Ba!!!

Najua hutonielewa kamwe mana we ni mtu wa matukio
Watu wa aina yako nakutana nao sana na nawajua sana
Ko nisamehe tu sana kwa kushangaa kila siku
Nami nikitaka kushangaa nitashangaa kila siku kwann unawaza unayoyawaza ila najua watu tunatofautiana
We ni mtu wa matukio ko lazima litokee ndo ushangae


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
View attachment 1344664


Sent from my iPhone using JamiiForums
gomez asingepata yale majeraha yaliyomlisha nje kwa muda mrefu sijui ingekuaje!....

nadhan yeye na vvd wanatupeleka kwenye ulimwengu mwingine wa furaha japo wengi wanamtazama vvd kwa sababu ya jina,cost, na reputation yake......

gomez, robbo, taa hawa wanatufanya wakati wote tutabasamu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa, takes zake za mpira zinachekesha sana.

Ukute hata SG wa 2013/14 hakumuangalia..


He was our best MF that season, pamoja na umri kuwa umemtupa mkono..


You watch this Klopp's team every day na bado unakuja na takes za kuwa SG asingefit, SG wa ukerewe, au?


Its all about opinions, but kuna opinions zingine ni za kipuuzi na zinakera.

Sent using Jamii Forums mobile app

I dont blame you, ata kesho ukachukua kiwango cha Tonny kroos ukampa lalana na ukachukua kiwango cha lalana ukampa kroose wabadirishane bado Kroos ataonekana mkali sana kutokana na jina aka branding, siwaraumu maana ndo binadam tuko tofaut, anyways ndo maana kila siku nazidi kuona binadam tunatofautiana sana kwa kufikiri ata kwa vitu ninavyoona ni simple kabisa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuna aina za mipira na zinavyochezwa
Ndio maana Zlatan Ibrahimovic na ukali na magoli yake yote katoka inter kaenda Barca kaishia kuwa wa ajabu uko

Coutinho katoka liver motomoto kaenda barca kachemka,

Ila kuna team zinazotegemea middle sana , nyingine mabeki sana, nyingine hasa za pressing zinategemea strickers 3 sanasana na fullbacks na midfielders hasahasa wanafanya kaz za kusupport mfumo na kuzuia endapo shambulizi litatokea
Ndo maana humu watu mnashangaa Wijnaldum kutokufunga sana akiwa liver na kufunga sana akiwa Netherlands
Mfumo huu Rodgers aliutumia ndo maana Gerard alirudi na kuonekana yuko deep, uku suarez sterling sturridge na kwa mbali coutinho walionekana kusumbua gwaride

Ndo maana ata Pep hajawah kuwa na midfielder ambae ni stricking force na mamidfielder wake wote walikuwa ni system players, ata Toni Kroos mwenyewe angekuwa passer au angeuzwa kama angekutwa na Pep, ila alibahatika kutimka kabla hajakutwa


Sent from my iPhone using JamiiForums
ila mkuu stev ilikua habari nyingine yule jamaa Lol...... kwangu mimi stev alikua bora sana kumzidi lampard (ambae mataji yanambeba)!.....


stev angekua kwenye liver hii ya klop tungetisha mnooo, sema shida rodgers alim-miss use kwa kumpeleka chini labda sababu ya umri......


mimi nimeanza kutazama mpira mwishoni wa Gerald Houlier na nimeangalia miaka yote ya Rafa B aisee stev alikua kitu kingine!.....

sidhan kama kuna timu ambayo stev angeshindwa kunawiri, hata ile barça ya kina xavi bado angesimama vyema sana....... stev alikua dream ya kila mtu!


anyway, nakubali tunatofautiana mtizamo, ila kwa stev labda sijakuelewa unachoongelea!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
gomez asingepata yale majeraha yaliyomlisha nje kwa muda mrefu sijui ingekuaje!....

nadhan yeye na vvd wanatupeleka kwenye ulimwengu mwingine wa furaha japo wengi wanamtazama vvd kwa sababu ya jina,cost, na reputation yake......

gomez, robbo, taa hawa wanatufanya wakati wote tutabasamu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Gomez aliumia dec kuingia jan last season.
tulidrop point na kuupoteza ubingwa.
Nasema hivi sababu ndani ya mechi 19 tulikua na conceded goals kama 5 hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nshalewa hapa... Hebu nisaidie rekodi ambazo sijawahi kuzisoma katika ligi ya Wingerezani kwa sababu ya ulevi wangu....

Rekodi ya tofauti ya pointi kati ya:

Bingwa Vs Mshindi wa pili
Bingwa Vs Aliyeshika mkia
Bingwa mpya Vs Bingwa mstaafu
Bingwa aliyepata points nyingi zaidi Vs Bingwa aliyepeta points chache zaidi

Kama na wewe hujui au hujanielewa, wala usijali... hizi ni pombe tu.

Nina Raha mimi ndo maana.... Naisubiria Furaha kama niliyoipata pale SG alivyoongoza chama likatwaa ndoo bada ya kuwa tumeshacharazwa 3-0 na yale manyigu ya Milan...

SHENZY ZAO KABISA, TENA SHENZY NA ROBO.
Wow, this is tough, but let me try..


1. City with 19 points gap in 17/18, they reached 100 points tally, second runner alikuwa Man utd with 81 points


2. I think automatically itakuwa ni ule msimu wa 2007/08, kama unakumbuka Derby County finished the season with just 11 points, Man utd won the league with 87 points.


3. In 1996/97, Utd won the league with 75 (fewest points in EPL history), following season (97/98), Arsenal won it by 78 points, so the gap was just 3 points, lol


4. City in 17/18 with 100 points, Man utd in 96/97 with 75 points.




So sisi msimu huu. Aims zetu kubwa ni;

1. Breaking City's 100 points tally

2. Breaking City's points-record tally kati ya Winner na second runner (19 points)

3. Beating Arsenal's invicible record.

4. Matching Utd treble winning season (if we win PL/CL/FA)..


Pep was aiming at Matching Fergie's 3 title wins in a row this season, but we stopped him. Hahaha, he hates us.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We may get a lap of honor before city game ... It will be at anfield against Crystal palace to be precise
If we win matches zetu zote 6 zinazokuja (including Everton)..

And, if City wataendelea kudrop more points, then tukifunga Crystal palace at home, Guard of honor itakuwa ni against CIty at Etihad, as tutakuwa tume-confirm the league against Palace.


But hii yote inategemea na City kushinda/poteza games.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zumbemkuu na Blac kid nimesoma sana aisee...

Huyo jamaa baada ya kutoka kombe la dunia alikua fire mnooo... Nadhani hakutegemea kama angetua Liverpool uzito wa jerzi nao ulichangia kua flop..

All in all respect to you both..

YNWA
Mkuu kombe la dunia 2002 wasenegal walivyomtoa nishai mtu mzima bingwa mtetezi France, niliwafatilia wasenagal wote club walizosajiliwa akina mnyama camara na kipa wao alisajiliwaga Marseille.
 
Kuna tofauti ya normal na struggle, soma vizuri uelewe nilichomaanisha
Under Rodgers hakuwa main man na alikuwa system player with a big name


Sent from my iPhone using JamiiForums
SG was the main man for Rodgers for 2 seasons running, 12/13, 13/14..


Rodgers bulid his MF around SG for 2 seasons.


Msimu wa 14/15 ndiyo ulikuwa msimu wa kawaida for SG, age caught up with him.




Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom