Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Steven Gerard (SG) ndo namba nane bora zaidi kuwai kutokea duniani along with Kaka na Zidane kulingana na ninavyoona
Kwa epl ni wa kwanza ndan mle, siangalii sana makombe mana sio ninachoangalia kwa mchezaji mojamoja, hilo ni la timu, no doubt kuwa ni mkali na namkubali kwelikweli, nimeanza kufatilia mpira 2005 but heavely 2007, namjua ni mkali

Ila jua Kaka yule mbrazili alikuwa mkali sana na alikuwa anathamani sana kuliko SG, ala katika peak yake akatoka akaenda Madrid na kuonekana anazingua na mzungukaji tu

Ata mtoto mdogo anajua ukali wa mtu kama ni mkali
Ila kukubaliwa kwenye system ya mchezo flan ni jambo jingine
Enzi za uhai wa kiwango cha Gerard ye ndo alikuwa liverpool na wengine ni kujaziajazia kutengeneza team, inshort ni kama alikuwa Messi wa liverpool, ukimziba Gerard umeizima liverpool, kila mchezaji akipata mpira anaangalia na kufikiri Gerard atapenda nifanye nn, na ye hakudissappoint kabisa

Ila swali ni Je, Klop angemchukua huyo Gerrard na kujenga team kumzunguka au angeendelea na style yake ya uchezaji kupitia pemben na kupress
klop hajengi timu zake kumzunguka mchezaji, ila wachazaji wanafit mfumo wake!

klop anajenga mfumo ili wachezaji wafit humo na sio kuweka mchezaji then mfumo umzunguke yeye!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes, kila coach ana system yake..

And, i agree..


But, SG, kwa aina ya uchezaji wake under Klopp, angekuwa ni more than a star.


KDB, is playing under possession footie system ya Pep, but chini ya Klopp angekuwa ni more than a Star kutokana na the way anavyocheza.


SG was a talented footballer & a workhouse.. (He pressed/run down the ground/broke the lines/defend from deep/pace/dribbling/killer passes/ball control/shield/hold up play/Assists/goals)..he'd fit in Klopps 433 traditional system/343/4321, he'd play in double pivots/lone RCM/LCM/B2B/Winger/Number 10/False 9 and cover at RB/LB (hizo ni positions zote alizocheza akiwa LFC), he was a machine.

Ndiyo maana mpaka kesho, SG anasema huwa anaumia kwa Klopp kuchelewa kuja LFC, because he knows damn well he's his ideal manager.


SG was not a system player.


MF ambaye ange-struggle in Klopp's MF ni Lampard, because he was slow in build ups and not a good runner.


Technical MFs wote unaowajua wange-excel under Klopp's system in a 4321. He had a lot of technical MFs at Dortmund (Gundo/Sahin/Kagawa etc)..

Sent using Jamii Forums mobile app

Too bad we’ll never know,
Ila sio nasema atakuwa mbaya, No, naongeleatu probability na kuwa sometimes things tend to play the other way round, its the game of probability


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
What a sepcial feeling

Daaaah

Sir wazee tulioanza zamani it's like a dream come true

I wish my father was alive to see this
Sorry about your FATHER, my brother, may he continue to rest in peace.


Nothing can beat this feeling brother, Nothing.


I still cant even believe it mpaka sasa..


Its been a long wait, na jinsi tulivyofanya in style inafanya furaha iongezeke zaidi.





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Too bad we’ll never know,
Ila sio nasema atakuwa mbaya, No, naongeleatu probability na kuwa sometimes things tend to play the other way round, its the game of probability


Sent from my iPhone using JamiiForums
Not kwa special player kama SG, tena under a dynamic manager kama Klopp.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sorry about your FATHER, my brother, may he continue to rest in peace.


Nothing can beat this feeling brother, Nothing.


I still cant even believe it mpaka sasa..


Its been a long wait, na jinsi tulivyofanya in style inafanya furaha iongezeke zaidi.





Sent using Jamii Forums mobile app
Remember tunaangalia akina bjorneby, Hansen, mcmanaman, finnan, daglish, rush, Phil Babb, titi, Sammy, henchoz, cisse, Momo, gerro, carra, diao

Ma'am the movie is beyond true life drama

Will never forget Ile 3 goals win where gerro, riise scored screamers

That game where Garry Neville handled the ball carelessly and Danny Murphy scored the penalty

Jeeezzzz
 
klop hajengi timu zake kumzunguka mchezaji, ila wachazaji wanafit mfumo wake!

klop anajenga mfumo ili wachezaji wafit humo na sio kuweka mchezaji then mfumo umzunguke yeye!

Sent using Jamii Forums mobile app
Klopp bulid his teams in patches..


At the back, ametengeneza his defense around VVD, he's the last man standing.


Kwenye MF, ametengeneza kiungo around Faby, he's the last man standing.


Kwenye creativity, ametengeneza his team around our FBs, hence our 2 workhorses (Hendo+Gini) job is to protect our FBs wakiwa wanapanda kutengeneza chances , though things will change kama Keita akirudi kuwa full fit.


Kwenye attack, the last man standing ni Bobby.


Hence. That completes the spine of Alisson-VVD-Fabinho-Firmino.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Remember tunaangalia akina bjorneby, Hansen, mcmanaman, finnan, daglish, rush, Phil Babb, titi, Sammy, henchoz, cisse, Momo, gerro, carra, diao

Ma'am the movie is beyond true life drama

Will never forget Ile 3 goals win where gerro, riise scored screamers

That game where Garry Neville handled the ball carelessly and Danny Murphy scored the penalty

Jeeezzzz
Hahahaha..


You should be teaching these young & new LFC fans kuhusu ther roots ya hii Club.


Brother, you're a LEGEND, Aisee.


Its just beyond shocking kwa jinsi unavyoiweka profile yako so low, you're just a LEGEND.


You & M-Mbabe deserves this title more than anyone on this platform.


Y'all just pure LEGENDS.


personally, ningekuwa na bigger profile kuhusiana na ushabiki wa LFC kama nyie, kungekuwa hakutoshi humu brother.


You should be proud of yourself.


Such a blessing.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lazima uone hvyo mana akili yangu na yenu ni tofauti sana, kiuwezo wa kufikiri najua ata robo huwezi kunifikia, nina imani maana kati ya wote akili yako inaonekana dhahiri, ndo maana ata maisha yako nayapatia picha na kuyaona
Anyways most stupid people dont know are stupid, ndo maana enz niko secondary Tusiime pale kabla hawajanijua vizuri walikuwa walikuwa wanabishabisha ninavyoongea till walipopata akili au kuwa wakubwa
Am 26 soon 27 ila kwa kuwa nimekuzidi akili naamini nimekuzidi kila kitu inaonesha, ko naamini ata ninavyoongea vina maana sana ila kwakuwa akili yako iko chained ni ngumu kuelewa


Sent from my iPhone using JamiiForums
Kumbe we kajamaa una miaka 26

Unatutishia na tusiime


Aiseeeeeee

What the fvck

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FSG gave SG a peanut new offer..


Akaona wame-dharau his legacy. ndiyo maana akaondoka kwa hasira.


But, its funny because they'll need him in 2024 to save their tight arses again, watafanya hivyo because of SG's big name at LFC. But in reality watakuwa wanasave money as SG will be a cheap option and easy to fool the fans.


But, i dont want SG to be our manager. because itakuwa so hard kumpelekea maneno ya moto moto.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni home boy. Tutaogopa kumshambulia akivurunda. Hata hivyo it will pain him badly in case of poor results and performance.
SG our home boy
 
IMG_7622.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hahahahahaha!


Thanks a LOT, LEGEND.


I appreciate.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha I like that "LEGEND" thing ... sasa sijajua ni LEGEND wa LFC au wa JF .... Hahahahaha...

Najua ni siri yako LOL kwa maana wewe mwenyewe unajua kwa LFC mi ni mkongwe lakini sijawahi kuwa LEGEND wa robo ya kiwango chako.... ILA sasa kwa JF... laiti mabinti wangekuwa wanacheza soka....

Yaani mimi na wewe ni sawa na

SG Vs Hendeboy Pale LFC au
VVD Vs (Unamjua) hapa JF

Nimemaliza narudi zangu kitandani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom