mmangO
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,025
- 1,623
Kumbe we kajamaa una miaka 26
Unatutishia na tusiime
Aiseeeeeee
What the fvck
Sent using Jamii Forums mobile app

Kumbe we kajamaa una miaka 26
Unatutishia na tusiime
Aiseeeeeee
What the fvck
Sent using Jamii Forums mobile app



Nilipoona miaka 26 tu ilinibidi ninyamaze kumbe nabishana na School boy 😀😀
Mdogo wangu wa 4 ndiyo ana miaka 26![]()
![]()
Basi chei cheiLazima uone hvyo mana akili yangu na yenu ni tofauti sana, kiuwezo wa kufikiri najua ata robo huwezi kunifikia, nina imani maana kati ya wote akili yako inaonekana dhahiri, ndo maana ata maisha yako nayapatia picha na kuyaona
Anyways most stupid people dont know are stupid, ndo maana enz niko secondary Tusiime pale kabla hawajanijua vizuri walikuwa walikuwa wanabishabisha ninavyoongea till walipopata akili au kuwa wakubwa
Am 26 soon 27 ila kwa kuwa nimekuzidi akili naamini nimekuzidi kila kitu inaonesha, ko naamini ata ninavyoongea vina maana sana ila kwakuwa akili yako iko chained ni ngumu kuelewa
Sent from my iPhone using JamiiForums


Kuna mwingine analaumu kwa nini Ole hajasajili winga wa kupiga cross kama BekhamEti Wanamlaumu Pep kumuachia Liverpool kubeba Ubingwa wakati Fergie na Wenger hawakuiwachia Liverpool kubeba ubingwa!![]()
Hivi kwani Manure na Arsenal hawapotena EPL?
Au wao hawana haki ya kumzuia Liverpool?
Thanks brother I am so blessed already witnessing this team hitting this levels is just solid blessing...Aisee. captain itabidi ufanye umuone Klopp , live bhana..
I trust you..
Itakuwa ni criminal kama utashindwa kumshuhudia jamaa kwenye touchline akiwa na LFC..
You should make the most of it.
You deserve this so much my brother, you're always positive about this club. Your takes and ability to digest hoja mbali mbali is just unmatched.
Ndiyo maana kitu chocho kikitokea kuhusu LFC. Lazima niingie humu kuona your thoughts & takes.
Stay blessed brother.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wow man safi Sana aisee... Jamaa kwa kweli baada ya kuwa toa nishai Ufaransa walikua moto mno nadhani kile kikosi chote walipata vilabu vya uhakika...
Manchester City losing jana was blessing in disguise, that means Klopp will now than ever want both UCL and EPL in his locker..We need to win the CL to cement this World class team status..
I know we can do it..just need to focus kwa fronts zote mbili..
Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaha mashabiki wao walikwenda ofisi za klabu na kufanya fujo kama zote...Manure wamekuwa wadogo kama Piriton![]()
![]()
Hahaha kule Senegal vipaji vipo aisee hatimae tukapmata mnyama Mane na safari hii hajatwangusha ni kazi kazi...Mkuu kombe la dunia 2002 wasenegal walivyomtoa nishai mtu mzima bingwa mtetezi France, niliwafatilia wasenagal wote club walizosajiliwa akina mnyama camara na kipa wao alisajiliwaga Marseille.