Watery
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 2,729
- 3,498
Yani chambuzi zake ukiziangalia utaziona wazi kuwa anakopy na kupest kutoka kwa wachambuzi wa Redio za Kibongo.
Lazima uone hvyo mana akili yangu na yenu ni tofauti sana, kiuwezo wa kufikiri najua ata robo huwezi kunifikia, nina imani maana kati ya wote akili yako inaonekana dhahiri, ndo maana ata maisha yako nayapatia picha na kuyaona
Anyways most stupid people dont know are stupid, ndo maana enz niko secondary Tusiime pale kabla hawajanijua vizuri walikuwa walikuwa wanabishabisha ninavyoongea till walipopata akili au kuwa wakubwa
Am 26 soon 27 ila kwa kuwa nimekuzidi akili naamini nimekuzidi kila kitu inaonesha, ko naamini ata ninavyoongea vina maana sana ila kwakuwa akili yako iko chained ni ngumu kuelewa
Sent from my iPhone using JamiiForums
& the whole squad names 