I understand you brother..
The reason why ile team ya 2013/14 ilipoteana alivyoondoka Suarez, ilikuwa ni replacements, tulifanya biashara mbaya sana kwenye TW ya 2014, kuanzia kwenye defence mpaka kwenye attack (Lovren/Moreno/Lallana/Lambert, Balotelli etc)..
Hata leo hii Salah akiondoka LFC, na tukam-replace na beyond average players, lazima team itayumba tu..
Suarez hakukaa muda at LFC, he left akiwa on top kwenda Barca, ukimchukua Suarez wa Barca kwa misimu mitatu ya mwanzo aliyokuwepo camp nou, huwez hata kidogo kumfananisha na mchezaji kama Salah, Suarez was on top of everything, na kama asingekuwa na bad reputations za kung'ata watu na racism issues angekuwa ameshashinda BDO..
But, tukiongelea at LFC, Salah amekuwa na better career kuliko Suarez & Torres interms of scoring abilities (not talent wise)..
Kwa upande wa teams, i think Suarez exploded when we bought natural creator, Coutinho, and he benefited the most na form ya Sterling/DS, katika misimu yake ya awali ali-struggle sana na kina Downing/Charlie adam/Jonjo etc, but alivyopata good & pacey creators/wingers ilikuwa rahisi sana kwake ku-shape his performances and kuwa na attacking minded manager kulimsaidia sana..
Suarez stuggled a bit with bad LFC teams/players, ingekuwa the same kwa Salah, because naye ali-explode alivyokutana na kina Cou/Mane/Bobby msimu wake wa kwanza at LFC na pia kama ilivyokuwa kwa Suarez, Salah pia alipata bahati kuwa na attacking minded manager (Klopp)..
Salah pia ange-struggle na kina Downing, but angecheza vizuri na kina Cou/Sterling/Injury free DS, though to be honest sidhani kama angefikia numbers za Suarez at that time, but my point is over the years Salah ameprove kuwa better goal scrorer than Suarez at LFC, lakini overall (career-wise),/Suarez will always be a better player (by a mile)
Sent using
Jamii Forums mobile app