Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Hata Big 6 hatumo kaka hilo I bet big time...Bro, mimi binafsi nampenda Salah kwa alichokifanya na anachokifanya Liverpool.
Swali rahisi ni moja, kwamba kama ukimwondoa Salah na usinunue mchezaji mwingine kumreplace, utumie waliopo, je tutaikosa top 4?
Magoli ya Salah sio tu anafunga mbali magoli yake yanaongoza kwenye EPL kushinda pointi ndugu...
Bila Salah I predict our downfall in a very high rate...
Kumwondoa Salah kwa kipi haswa wakati Klopp tells the boys go and express your self.. That why they relish playing for Klopp..Salah play the way he goes sababu that his way of playing and the manager is okay with that sijamsikia wala kusoma mahala akilalamika...
YNWA